JamiiForums yamtumbua mtangazaji wa Nirvana (EATV), alazimika kuacha kazi ghafla..

JamiiForums yamtumbua mtangazaji wa Nirvana (EATV), alazimika kuacha kazi ghafla..

ni mambo ya kuhuzunisha sana na kupinga mungu vijana wadar na dodoma hii inakuwaje kila mtu anashida lakini kwanin mnafanya hv kizazi hiki hakitopita mungu wetu simama
 
Maneno tu wabongo bwana wamezoea kuishi kwa hisia tu na kuhukumu mtu,ukiuliza hapa mwenye ushahidi hutapata,vitu vingine mtakuja mfungwe bure kwa uzushi wenu,Wabongo bhana
 
Kwa kweli alikuwa ana-bore sana. Men are not like that.

Hata wadada wanaotangaza kwa kubinjua midomo huwa siwapendi sembuse huyu mwanaume!!! Achunguzwe.
 
Back
Top Bottom