JamiiForums yamtumbua mtangazaji wa Nirvana (EATV), alazimika kuacha kazi ghafla..

Nilidhani mm ndo nilikuwa na mtilia shaka kumbe wengi
 
Lakini mashoga wanaopingwa hapa ni wale wanaojiweka kike, wanaoakisi vitabia vya kike. Mtu anasema "dume zima unageuzwa na mwanaume mwenzio?" . Yule anaegeuzwa anaonekana tu Shababi. Wengine hata huwaambia wenzao "Jipendekeze ntakuoa/ ntaku***" kama vile kufanya hicho kitendo ukiwa ndo unamgeuza mwenzio makes it any different. Ni unafki umewatawala tu wanaume. Yani hata hili ambalo mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe mnataka kumtupia lawama mwanamke?
Kwanini wameitwa 'mashoga'? Kwanini na nyie mnaitana 'shoga'.
Ukielewa hapo, tutaufunga mjadala huu kwa uzuuuuuuri..
 
Wewe kama unajua hiyo sababu sema hapa...Mimi point yangu ni MASHOGA WANAGEUZWA NA NANI?...maana hilo ndo tatizo linalolalamikiwa. Wanakuwepo si kwa sababu wanawake wanakuwa na urafiki nao bali kwa sababu WANAUME WENZAO wanawahitaji. Ova!
 
Haya. Umeshinda.
 
Back
Top Bottom