Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wameitwa 'mashoga'? Kwanini na nyie mnaitana 'shoga'.Lakini mashoga wanaopingwa hapa ni wale wanaojiweka kike, wanaoakisi vitabia vya kike. Mtu anasema "dume zima unageuzwa na mwanaume mwenzio?" . Yule anaegeuzwa anaonekana tu Shababi. Wengine hata huwaambia wenzao "Jipendekeze ntakuoa/ ntaku***" kama vile kufanya hicho kitendo ukiwa ndo unamgeuza mwenzio makes it any different. Ni unafki umewatawala tu wanaume. Yani hata hili ambalo mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe mnataka kumtupia lawama mwanamke?
Wewe kama unajua hiyo sababu sema hapa...Mimi point yangu ni MASHOGA WANAGEUZWA NA NANI?...maana hilo ndo tatizo linalolalamikiwa. Wanakuwepo si kwa sababu wanawake wanakuwa na urafiki nao bali kwa sababu WANAUME WENZAO wanawahitaji. Ova!Kwanini wameitwa 'mashoga'? Kwanini na nyie mnaitana 'shoga'.
Ukielewa hapo, tutaufunga mjadala huu kwa uzuuuuuuri..
Haya. Umeshinda.Wewe kama unajua hiyo sababu sema hapa...Mimi point yangu ni MASHOGA WANAGEUZWA NA NANI?...maana hilo ndo tatizo linalolalamikiwa. Wanakuwepo si kwa sababu wanawake wanakuwa na urafiki nao bali kwa sababu WANAUME WENZAO wanawahitaji. Ova!
Duuuuh!!!!Huyo Huyo Ishu hyo ni ya kweli kabisa wala haina uongo
Katika ubora wenu..