JamiiForums yamtumbua mtangazaji wa Nirvana (EATV), alazimika kuacha kazi ghafla..

Mara ya kwanza kusikia hiyo sauti Nikahisi jamaa ni hasara.. Alafu pia Tanzania ama serekali ikague Haya makampuni ya fasheni au ma model Mle sio pausalama Kwa watoto WA kiumeee..
 
Bora hata yule jamaa alikuwa anatia aibu kwa baadhi ya vitu alivyokuwa anavifanya studio sauti km ya sijui ya nn bhana dah alikera kweli bora kajielewa akaacha tu
 
Mtoto wako wa kiume akikwambia ataka kua mwanamitindo, usimkubalie zaidi mchunguze urijali wake....
Maana asilimia 90 ya hawa wanaume wa fashion hua ni alama ya kuuliza
 
nachojiuliza hivi kwanini wakina dada hawapingi ushoga wanaona kama kitu cha kawaida katika jamii zetu
 
nachojiuliza hivi kwanini wakina dada hawapingi ushoga wanaona kama kitu cha kawaida katika jamii zetu
Hata mimi najiuliza iweje Wanaume ndo wako mstari wa mbele kuwapinga mashoga ilhali mashoga wanafanya mapenzi ya jinsia moja yaani na wanaume wenzao. Hao wa kufanya nao wanatoka sayari nyingine??

Nasikia harufu ya Unafiki!!
 
Hata mimi najiuliza iweje Wanaume ndo wako mstari wa mbele kuwapinga mashoga ilhali mashoga wanafanya mapenzi ya jinsia moja yaani na wanaume wenzao. Hao wa kufanya nao wanatoka sayari nyingine??

Nasikia harufu ya Unafiki!!
Weweee... Hao wanaume wanaokula wanaume wenzao wanaitwa mashoga pia.. Ndio tunaowashangaa..
Ndio maana si kawaida kwa watu wa aina hiyo kuwa 'washkaji' na wanaume straight..
Yaani mimi nikisikia mshkaji wangu anatafuna shoga namchana na akishindwa kuacha namkwepa na ujamaa unaishia hapo.. Hana ishu!

Umeelewa?
 
DAH Mimi nimeduwa sina la kusema Kapiga? ¿¿¿¿¿ Hili kundi lishakuwa kubwa pia ni ngumu kupambana nalo
Acha kuamini malapulapu ya humu jf mtu akiwa na bif za kijinga anamwita mtu shoga ukiuliza ushahidi anasema ni maneno yanazungumzwa.

Me sio big fan wa clouds lakini maneno mengi yanayopelekwa kwao ni husda tu za rival wao hayana ukweli wowote hapo clouds wanasema karibia kila mwanaume ni shoga.
 
Lakini mashoga wanaopingwa hapa ni wale wanaojiweka kike, wanaoakisi vitabia vya kike. Mtu anasema "dume zima unageuzwa na mwanaume mwenzio?" . Yule anaegeuzwa anaonekana tu Shababi. Wengine hata huwaambia wenzao "Jipendekeze ntakuoa/ ntaku***" kama vile kufanya hicho kitendo ukiwa ndo unamgeuza mwenzio makes it any different. Ni unafki umewatawala tu wanaume. Yani hata hili ambalo mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe mnataka kumtupia lawama mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…