JamiiForums yapongezwa Bungeni kwenye Bajeti Kuu ya Serikali. Maxence Melo apongezwa kwa Uzalendo wa Ushauri Kodi Biashara ya Mtandao

Mwigulu awe real? Kesi dhidi ya Maxence zilifunguliwa Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Nani? Acha kumwamini Huyo Mnafiki, anaona Mello habadili msimamo na watu wanampenda anajifanya kumpongeza ili aungwe mkono JF.
Ni mtazamo wako mwanabodi; ila mimi naona Madelu alikuwa real.
 
Niliwahi kusema Jamiiforum inatakiwa ipewe ulinzi maalumu kama Elon musk... Yani acha kabusa
 
Mwigulu awe real? Kesi dhidi ya Maxence zilifunguliwa Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Nani? Acha kumwamini Huyo Mnafiki, anaona Mello habadili msimamo na watu wanampenda anajifanya kumpongeza ili aungwe mkono JF.
Ukinipapasa Nita.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…