Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtazamo wako mwanabodi; ila mimi naona Madelu alikuwa real.Mwigulu awe real? Kesi dhidi ya Maxence zilifunguliwa Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Nani? Acha kumwamini Huyo Mnafiki, anaona Mello habadili msimamo na watu wanampenda anajifanya kumpongeza ili aungwe mkono JF.
Niliwahi kusema Jamiiforum inatakiwa ipewe ulinzi maalumu kama Elon musk... Yani acha kabusaKatika hotuba yake ya bajeti, leo hii 14/06/2022, Waziri wa Milango na Fedha, ndg Mwigulu Nchemba leo amempongeza kwa jina , Maxence Mello kwa kazi nzuri ya kuwaunbanisha wana mitandao na kukubaliana kiutaratibu na serikali.
Huku ni kutambuliwa kwa m tandao wetu pendwa wa Jamiiforums.
Hongera sana Max kwa kazi yako ya kujitolea kwa ajili ya free speech kwa muda mrefu na hatimaye serikali kuikubali mitandao na kuipongeza.
Hawa hawa si ndio waliifungulia JF kesi?Big Big Big Up Maxence Mello!.
P
Hahaaa......hiyo alishaitelekezaMwigulu Nchemba au unataka ile ya kificho?
Chawa huwa wanaharibu mamboHuku ni "Great thinkers" inabidi tumaintain hii spirit,bravo
Tulia na wengine wapostNi baada ya Jamii Forum kutoa mchango mkubwa kwenye mijadala ya kujenga uchumi wa nchi
Source Star tv bungeni
Sasa vijana wawache matusi ya ovyo na kuita wenzao wanaowahoji 'wajinga, wapumbavu, zezeta.....'Huku ni "Great thinkers" inabidi tumaintain hii spirit,bravo
Ukinipapasa Nita.............Mwigulu awe real? Kesi dhidi ya Maxence zilifunguliwa Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Nani? Acha kumwamini Huyo Mnafiki, anaona Mello habadili msimamo na watu wanampenda anajifanya kumpongeza ili aungwe mkono JF.