TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

hongera sana, msisahau kuja na huku majimbo ya mkoa wa ruvuma hasa jimbo la nyasa, nitakuwa bega kwa bega kuhakikisha lengo litimie
 
Hongera sana Maxence Mello, Hongera tena!!

Hii ni project kubwa sana!
tumekuwa tukitumia mitandao kwa faida, lakini kuna makundi ya watu ambao wamekuwa hawapati faida kubwa kama inavyokwenda kuwa sasa, chini ya project hii.


Lakini pia, kujikita katika miradi ya wananchi direct, kutajenga heshima, nguvu, na ushirikiano baina ya Serikali, na mwisho kuonekana kwa mchango mkubwa wa jf Tanzania, Afrika na Duniani kwa ujumla.

"Kaza buti"
wadau tupo nyuma yako!
 
Kazi njema sana, naomba kuuliza, mradi unafadhiliwa na nani? kwa maana kwamba hayo maeneo manne ambayo mbunge au viongozi wanapaswa kuyaainisha yatafadhiliwa na nani kama ikionekana kuna financial resources zinahitajika?
 
Hongereni sana Jamii Forum nyie mmechangia maendeleo ya nchi yetu zaidi ya mchango wa policcm na TBccm
 
Mko vzr,ilikuwa muda mwingine mambo ya msingi kbsa yanaongelewa hapa,na yanabaki hapahapa...kupitia hio kitu ujumbe utawakuta walengwa moja kwa moja
 
Hongereni unajuwa mtakumbana na changamoto kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa lakini msikate tamaa tutafika tu.
Je, kuna wanasiasa ambao lengo lao sio kuletea wananchi / taifa maendeleo? Nadhani wote wana lengo la kujijengea sifa (legacy) kwa mambo mazuri ya maendeleo kwa njia wanayoamni inafaa! Kama yupo ambaye si waina hiyo, basi huyo si mwanasiasa bali ni tapeli!
 
Sisi watanzania miradi isipokuwa na chembe chembe za DECI huwa hatuichanngamkii. Huwa nawaza inakuwaje mtu anakopa laki moja na kutakiwa kurudisha 130,000 ndani ya mwezi mmoja na yeye anakubali. Huu mradi sidhani hata wana Jamiiforums tumejiunga humu!!
 
Kwanza nitoe shukuran kwenu Kwa kaz hii nzito ya ujenz wa Taifa lakn nitafurah zaid mkija kwetu RUVUMA hasa jimbo la nyasa mana hatujui kwann tulizaliwa hapa Tanzania tumesanaurika sana kwahyo naomba sana msitusahau jaman tunakufa ndugu zenu yan kila kitu huku ni shida mpaka inafika mahar watu wanasema heri wamalawi wa jitahd kudai nchi yao tuende huko huko mana Tanzania yawezekana sis ni watoto wao wakambo ila cku mkiona tunaandamana kuikataa Tanzania msishangae tumechoka tumechoka
 

Attachments

  • IMG-20170514-WA0016.jpg
    185.7 KB · Views: 67
SAFI...TENA VIONGOZI WENGI WANATAKIWA WAPITE SANA KATIKA MITANDAO YA JAMII HASA HUU AMBAO UNALINDA HAKI NA SIRI ZA SISI WATUMAJI MAONI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…