Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Good
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajatawanywa! Wanajipanga!Mkuu kwa sasa bukoba ccm hawana nguvu na wametawanywa sana hasa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana
Je, kuna wanasiasa ambao lengo lao sio kuletea wananchi / taifa maendeleo? Nadhani wote wana lengo la kujijengea sifa (legacy) kwa mambo mazuri ya maendeleo kwa njia wanayoamni inafaa! Kama yupo ambaye si waina hiyo, basi huyo si mwanasiasa bali ni tapeli!Hongereni unajuwa mtakumbana na changamoto kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa lakini msikate tamaa tutafika tu.
usijari tutafika soonSafi sana. Msisahau kuja na kwetu Songea