JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

Weee acha unakaa, na unafiki wa wazi .

Unafiki unawasaidia nn?.


JPM alikua Kila anapoongea na Taifa au Wananchi.... NCHI YOTE INAKAA KIMYA KUMSIKILIZA.
Kwani ukikaa kimya wewe kumsikiliza ndiyo nchi nzima? Au kwa kuwa kila alipofanya tukio vyombo vya habari na mitandao vilikua vikilazimishwa kumuonyesha yeye tu ndiyo unaita nchi nzima?
 
Unawashauri nini mtu au kikundi kitakachochukia Magu aliyekufa kufuatiliwa na wengi kuliko walio hai?

Kwamba wasubiri wakifa nao watatrend?
 
Hacha uhongo mzee,huyu JPm ni wa kipekeee hakuna hotuba alikuwa anafanya bila kuwa na umati wa watu,Tena kipindi hicho wanachadema chuki zimewajaa wanahamasisha wanachama wanu kutomtambua,Nyomi ilikuwa ni wana CCM pekee,leo mama hakienda mahali anatafa support ya Wanaccm na wanachadema jumlisha na Act na wengine......ila umeona hapo juuu kapata views 124 tu!
UPekee upo wapi? Acheni kujitekenya
 
Afya ya akili unaonea wivu hadi kaburi.
Umejuaje kama linarushwa sana kama halifuatiliwi wewe juha
Mnaopigania Kaburi ndiyo mjichunguze afya yenu. Kwa kuwa tu ni kaburi ndiyo mlizushie kila kitu?

Ninyi wachache huku mitandaoni ndiyo mnasababisha rais wetu asipumzike kwa amani sababu ya utaahira wenu. Hamuwezi kuleta habari ikaeleweka ninyi ni kila mnapoleta hizo habari mnaleta kwa mtindo wa kushindanisha.

Acheni hizo tabia , mnakua kama watu wanaopenda kubaashiwa bwana!!
 
Mnaopigania Kaburi ndiyo mjichunguze afya yenu. Kwa kuwa tu ni kaburi ndiyo mlizushie kila kitu?
Ninyi bichaa wachache huku mitandaoni ndiyo mnasababisha rais wetu asipumzike kwa amani sababu ya utaahira wenu,. Hamuwezi kuleta habari ikaeleweka ninyi ni kila mnapoleta hizo habari mnaleta kwa mtindo wa kushindanisha.
Acheni hizo tabia , mnakua kama watu wanaopenda kubaashiwa bwana!!
Raisi wako na nani wewe kichwa panzi!
Umelazimishwa kupitia huu uzi tabula rasa wewe
 
Kwenu ukikaa kimya wewe kumsikiliza ndiyo mchi nzima? Au kwa kuwa kila alipofanya tukio vyombo vya habari na mitandao vilikua vikilazimishwa kumuonyesha yeye tu ndiyo unaita nchi nzima?
Kwani Samia harushwi? Mpaka Sasa TBC1 Kila siku wanarushwa mkutano wa Mkoa mmoja baada ya mwingine kumsifu, yeye mwenye Kila anapoenda ni anarushwa tu, Wapinzani waamsifiaa .

Lkn kwanini hapati watazamaji?
 
Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli, kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!
Kwani Chadema tu ndio wanataka nchi? Pigieni ACT maana hata CCM Sukuma Gang hamtakiwi. Chama kimerudi kwa wenyewe, wazee wa Pwani!!
 
Moderator, Huu Uzi nmeuweka kama kumbukumbu yangu

Nawaombeni sana sana sana, Msiuunganishe.

Haya ni maajabu Ndugu zangu maajabu maajabu
Kwani clip kuonwa na watu wengi inamaanisha nini? Tanzania kuna clips kama za mauaji, ukatili, ngono etc huwa zinapendwa sana.
 
Wasihangike kupambana naye, wasihangike kufuta legacy yake, wasihangike kuwalazimish Watanzania wamuone JPM Mbaya, wasihangike kuharibu Kila Mahali palipo na JPM
Unawashauri nn mtu au kikundi kitakachochukia Magu aliyekufa kufuatiliwa na wengi kuliko walio hai?

Kwamba wasubiri wakifa nao watatrend?
Wao wafanye kazi zao, wapinge Rushwa, wauchukie Ufisadi, Warudishe Nidham , na mengineyo mengi
 
Mimi nikijenga hoja kuwa hapo anaangaliwa Kardinali Pengo badala ya Hayati Magufuli unayetuaminisha hapa utakuwa na hoja gani ya kunipinga? Wewe umesikia wapi Hayati anatrend mtandaoni kuliko aliye hai-tena kwenye video?
 
Mimi nikijenga hoja kuwa hapo anaangaliwa Kardinali Pengo badala ya Hayato Magufuli unayeaminisha hapa utakuwa na hoja gani ya kunipinga? Wewe umesikia wapi Hayati anatrend mtandaoni kuliko aliye hai-tena kwenye video?
Ndio nikasema tumieni Akili.

Mwenye Akili kama Mimi kwanza, Natafuta video za Pengo mwenyewe na mambo yake yasiyomuhusisha JPM.

Alafu Nakuja kulinganisha na hii.

Ndo napima, ni nani kafanya watanzania Kufatilia habari hiyo.
 
Jpm atakumbukwa milele. Mtaongea sana ila kumbukumbu haitafutika.
Samia atapita na tutamsahau kama tulivyomsahau mkapa ila sio MWAMBA.
So far Magufuli 3- Msoga 0.
Hakika Mkuu...

Msoga Gang hawaamini, yaan pamoja na backup ya Akina Lema ,Mbowe na Lissu, bado watanzania hawaelewi🤣
 
Ndio nikasema tumieni Akili.

Mwenye Akili kama Mimi kwanza, Natafuta video za Pengo mwenyewe na mambo yake yasiyomuhusisha JPM.

Alafu Nakuja kulinganisha na hii.

Ndo napima, ni nani kafanya watanzania Kufatilia habari hiyo.
Kardinali Pengo alikuwa na ni maarufu kabla na kuliko Hayati Magufuli. Watani zangu wasukuma mmepatwa na nini?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom