Kwani ukikaa kimya wewe kumsikiliza ndiyo nchi nzima? Au kwa kuwa kila alipofanya tukio vyombo vya habari na mitandao vilikua vikilazimishwa kumuonyesha yeye tu ndiyo unaita nchi nzima?Weee acha unakaa, na unafiki wa wazi .
Unafiki unawasaidia nn?.
JPM alikua Kila anapoongea na Taifa au Wananchi.... NCHI YOTE INAKAA KIMYA KUMSIKILIZA.
UPekee upo wapi? Acheni kujitekenyaHacha uhongo mzee,huyu JPm ni wa kipekeee hakuna hotuba alikuwa anafanya bila kuwa na umati wa watu,Tena kipindi hicho wanachadema chuki zimewajaa wanahamasisha wanachama wanu kutomtambua,Nyomi ilikuwa ni wana CCM pekee,leo mama hakienda mahali anatafa support ya Wanaccm na wanachadema jumlisha na Act na wengine......ila umeona hapo juuu kapata views 124 tu!
Anamtetea mungu wake wa ChattleAnaishi vipi sasa na mtu kafa?
Unasema kafa kiroho tu, una maana gani sasa, kwamba kimwili bado anaishi au?
Mnaopigania Kaburi ndiyo mjichunguze afya yenu. Kwa kuwa tu ni kaburi ndiyo mlizushie kila kitu?Afya ya akili unaonea wivu hadi kaburi.
Umejuaje kama linarushwa sana kama halifuatiliwi wewe juha
Raisi wako na nani wewe kichwa panzi!Mnaopigania Kaburi ndiyo mjichunguze afya yenu. Kwa kuwa tu ni kaburi ndiyo mlizushie kila kitu?
Ninyi bichaa wachache huku mitandaoni ndiyo mnasababisha rais wetu asipumzike kwa amani sababu ya utaahira wenu,. Hamuwezi kuleta habari ikaeleweka ninyi ni kila mnapoleta hizo habari mnaleta kwa mtindo wa kushindanisha.
Acheni hizo tabia , mnakua kama watu wanaopenda kubaashiwa bwana!!
Ukiwahi kuona video ya msiba wa huyu jamaa kipindi yupo uwanja wa ndege, na geti zimefungwa kilichofanyika umati ulivunja,uliwahi shuhudia huo umati?UPekee upo wapi? Acheni kujitekenya
Kwani Samia harushwi? Mpaka Sasa TBC1 Kila siku wanarushwa mkutano wa Mkoa mmoja baada ya mwingine kumsifu, yeye mwenye Kila anapoenda ni anarushwa tu, Wapinzani waamsifiaa .Kwenu ukikaa kimya wewe kumsikiliza ndiyo mchi nzima? Au kwa kuwa kila alipofanya tukio vyombo vya habari na mitandao vilikua vikilazimishwa kumuonyesha yeye tu ndiyo unaita nchi nzima?
Ona sasa ulivyo mpungufu wa akili hadi hadi uwezo wa kutawala hisia...endelea kujifanya kilago cha mgangaRaisi wako na nan wewe kichwa panzi!
Umelazimishwa kupitia huu uzi tablalasa wewe
Kwani Chadema tu ndio wanataka nchi? Pigieni ACT maana hata CCM Sukuma Gang hamtakiwi. Chama kimerudi kwa wenyewe, wazee wa Pwani!!Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli, kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!
Kwani clip kuonwa na watu wengi inamaanisha nini? Tanzania kuna clips kama za mauaji, ukatili, ngono etc huwa zinapendwa sana.Moderator, Huu Uzi nmeuweka kama kumbukumbu yangu
Nawaombeni sana sana sana, Msiuunganishe.
Haya ni maajabu Ndugu zangu maajabu maajabu
Wao wafanye kazi zao, wapinge Rushwa, wauchukie Ufisadi, Warudishe Nidham , na mengineyo mengiUnawashauri nn mtu au kikundi kitakachochukia Magu aliyekufa kufuatiliwa na wengi kuliko walio hai?
Kwamba wasubiri wakifa nao watatrend?
Hata Ruge Mutahaba mbona alikua na umati?Ukiwahi kuona video ya msiba wa huyu jamaa kipindi yupo uwanja wa ndege, na geti zimefungwa kilichofanyika umati ulivunja,uliwahi shuhudia huo umati?
Unaandika kama unakimbizwa"hadi hadi" mtu mwenye akili timamu hawezi kushindana na kaburiOna sasa ulivyo mpungufu wa akili hadi hadi uwezo wa kutawala hisia...endelea kujifanya kilago cha mganga
Ndio nikasema tumieni Akili.Mimi nikijenga hoja kuwa hapo anaangaliwa Kardinali Pengo badala ya Hayato Magufuli unayeaminisha hapa utakuwa na hoja gani ya kunipinga? Wewe umesikia wapi Hayati anatrend mtandaoni kuliko aliye hai-tena kwenye video?
Hakika Mkuu...Jpm atakumbukwa milele. Mtaongea sana ila kumbukumbu haitafutika.
Samia atapita na tutamsahau kama tulivyomsahau mkapa ila sio MWAMBA.
So far Magufuli 3- Msoga 0.
Kardinali Pengo alikuwa na ni maarufu kabla na kuliko Hayati Magufuli. Watani zangu wasukuma mmepatwa na nini?🤣🤣🤣Ndio nikasema tumieni Akili.
Mwenye Akili kama Mimi kwanza, Natafuta video za Pengo mwenyewe na mambo yake yasiyomuhusisha JPM.
Alafu Nakuja kulinganisha na hii.
Ndo napima, ni nani kafanya watanzania Kufatilia habari hiyo.