Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
-
- #61
Wee bwanaa........ Magufulinists hawana muda huo wakutafita kitu .Hakuna kingine ambacho huwa mnakitafuta zaidi ya kutafuta fursa kutukana ili angalau mpumue.
Mimi sina hiyana, nitawapeni tu hiyo kitu ili mradi inawasaidieni.
Mimi siyo maongea kama sina akili, mimi huwa sina akili kweli
Uko Kenya sehemu gani... Uliposherekea ulibadilika jinsia?JPM ALIKUFA tulisherekea hapa Kenya
Mkuu Petro, wee Sina shaka na Akili yako, ila tu najua unaweza kua na ka unafiki.Kardinali Pengo alikuwa na ni maarufu kabla na kuliko Hayati Magufuli. Watani zangu wasukuma mmepatwa na nini?🤣🤣🤣
Kumbe huwa mnaingia kichwakichwa? Sikulijua hili, ilitakiwa nikukwepe tu, sasa kwa kuamua kukunyoosha ni kukuonea tu.Wee bwanaa........ Magufulinists hawana muda huo wakutafita kitu .
Sisi tunaenda nanyie Kichwa Kichwa
niko nairobi mambo ya lgbtq hatupendi hukuona shoga aliuliwa kenyaUko Kenya sehemu gani....uliposherekea ulibadilika jinsia?
Unajibizana na I'd yangu sio mimiKumbe wewe mdiyo Kaburi? Maana mimi hapa najibizana na wewe, kumbe mwenzetu ni kaburi
Wewe Kaburi si tayari umejitambulisha kuwa wewe ni Kaburi na sisi hatujabisha?Unajibizana na I'd yangu sio mimj wewe kima
So ulisherekea kifo cha JPM kwa sababu zipi?niko nairobi mambo ya lgbtq hatupendi hukuona shoga aliuliwa kenya
Comment yangu Bora ya mwezi huuDaah,
Kwahiyo tufanyeje mkuu!
Huyo aliye hai ana nini cha ziada?Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???
Aliyehai anapata Watazamaji 123 🤣🤣
Mtu yeyeto mwenye akili akifa lazima kuwe na umati,Ruge alikuwa mtu mwenye kariba yake pia,vijana wengi THT walipa mikononi mwake.Hata Ruge Mutahaba mbona alikua na umati?
Imradi yule jamaa amekufa, wala sina harakaMsoga Gang/ Upinzani hewaaa .
Alafu jisahaulisheni , Mwaka 2025, motoo utawawakia na hamtaamini !!.
Mmeingizwa Kwa mtego na nyie mmeingia !!.
Subirini.
Huenda watu hawaamini kama kafa kweli maana hata yeye mwenyewe nadhani aliamini ni Mungu kwa kupenda kutukuzwa.Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???
Aliyehai anapata Watazamaji 123 [emoji1787][emoji1787]
Mkuu unahangaika na vitu visivyo na mantiki bure tu. Kumbe kuna mtu unaweza kumheshimu hata kama hamfahamiani ila kutokana na mambo ya kijing, a anayopost basi automatically unajikuta umemdharau.Tuanzishen Poll yetu humu.
Tuweke
A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)
B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Ungeweka basi hata hotuba moja ama mbili ambazo aliongea na taifa then akapata viewers wengi unaosema.Weee acha unakaa, na unafiki wa wazi .
Unafiki unawasaidia nn?.
JPM alikua Kila anapoongea na Taifa au Wananchi.... NCHI YOTE INAKAA KIMYA KUMSIKILIZA.
Kuleta story za maiti isiyokuwa na uwezo wa kutoa hata mawazo ya kulijenga taifa ni kujichosha tu.Weee acha unakaa, na unafiki wa wazi .
Unafiki unawasaidia nn?.
JPM alikua Kila anapoongea na Taifa au Wananchi.... NCHI YOTE INAKAA KIMYA KUMSIKILIZA.
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .
Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.
Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.
View attachment 2556204
Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli,kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!