JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

Hakuna kingine ambacho huwa mnakitafuta zaidi ya kutafuta fursa kutukana ili angalau mpumue.
Mimi sina hiyana, nitawapeni tu hiyo kitu ili mradi inawasaidieni.
Mimi siyo maongea kama sina akili, mimi huwa sina akili kweli
Wee bwanaa........ Magufulinists hawana muda huo wakutafita kitu .

Sisi tunaenda nanyie Kichwa Kichwa
 
Kardinali Pengo alikuwa na ni maarufu kabla na kuliko Hayati Magufuli. Watani zangu wasukuma mmepatwa na nini?🤣🤣🤣
Mkuu Petro, wee Sina shaka na Akili yako, ila tu najua unaweza kua na ka unafiki.

Ninajua Pengo ni maarufu Kwa sababu ya Kidini ndio.

Nimekupa Kazi ndogo... Kaifanye, ndio uje useme.!!.
 
Wee bwanaa........ Magufulinists hawana muda huo wakutafita kitu .

Sisi tunaenda nanyie Kichwa Kichwa
Kumbe huwa mnaingia kichwakichwa? Sikulijua hili, ilitakiwa nikukwepe tu, sasa kwa kuamua kukunyoosha ni kukuonea tu.

Haya endelea ma safari yako ya kwenda kichwa kichwa
 
Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???

Aliyehai anapata Watazamaji 123 🤣🤣
Huyo aliye hai ana nini cha ziada?

Watu wanajipigia tu sasa hivi mimi ninakoishi yanakaa mabaraza hela zinatoka barabara zijengwe kwa kiwango cha lami wao wanaweka kifusi maji hamna barabara mbovu kila kitu kimesimama.

Ujinga tu.
 
Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???

Aliyehai anapata Watazamaji 123 [emoji1787][emoji1787]
Huenda watu hawaamini kama kafa kweli maana hata yeye mwenyewe nadhani aliamini ni Mungu kwa kupenda kutukuzwa.

Hajawahi kukemea kuitwa nakufananishwa na majina kama Mungu ama Yesu.

Zumaridi na upumbav. u wake wote kwamba sijui alienda mbinguni na madude ya kijinga huwa anafuatiliwa na watazamaji zaidi ya 100k.
 
Tuanzishen Poll yetu humu.

Tuweke

A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)

B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Mkuu unahangaika na vitu visivyo na mantiki bure tu. Kumbe kuna mtu unaweza kumheshimu hata kama hamfahamiani ila kutokana na mambo ya kijing, a anayopost basi automatically unajikuta umemdharau.
 
Weee acha unakaa, na unafiki wa wazi .

Unafiki unawasaidia nn?.


JPM alikua Kila anapoongea na Taifa au Wananchi.... NCHI YOTE INAKAA KIMYA KUMSIKILIZA.
Ungeweka basi hata hotuba moja ama mbili ambazo aliongea na taifa then akapata viewers wengi unaosema.

Rais aliyepo madarakani kwasasa ni Daktari Samia Suluhu Hassan, mama shupavu kwahiyo inabidi ulubaliane na matokeo mkuu.
 
Weee acha unakaa, na unafiki wa wazi .

Unafiki unawasaidia nn?.


JPM alikua Kila anapoongea na Taifa au Wananchi.... NCHI YOTE INAKAA KIMYA KUMSIKILIZA.
Kuleta story za maiti isiyokuwa na uwezo wa kutoa hata mawazo ya kulijenga taifa ni kujichosha tu.
 
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.


Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .



Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.



Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.


RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..



Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.


Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.


Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.

View attachment 2556204

Punguza chuki na Rais Samiah. Video ya Polycarp pengo lakini unalazimisha Mama Samiah aingie for what reason?.
 
Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli,kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!

Kanda ya ziwa wapi? Acheni ukabila wajinga nyie. Kwenye hayo makanda yenu iondoeni Mara wajinga nyie.
 
Back
Top Bottom