Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Enzi za zamani Watumwa waliowapenda mabosi wao walikubali kuzikwa pamoja na wafalme haoModerator, Huu Uzi nmeuweka kama kumbukumbu yangu
Nawaombeni sana sana sana, Msiuunganishe.
Haya ni maajabu Ndugu zangu maajabu maajabu
Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli,kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!
CDM wajinga, wameingizwa mkenge na wao wakaaingia!!
Watashangazwa kwelikweli.
Hawajui Kanda ya ziwa ndio ilikua Ngome Yao...
Na Kanda ya ziwa Kwa Sasa wanaichukulia CCM hii kama CCM ya Mwaka 2005-2015.
Kutoka bilioni moja mpaka elfu 54Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .
Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.
Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.
View attachment 2556204
KAZI wanayo Nchi nzima Si lakezone pekee.
Magu alipendwa na Watanzania wote wa tabaka la chini.
Hacha uhongo mzee,huyu JPm ni wa kipekeee hakuna hotuba alikuwa anafanya bila kuwa na umati wa watu,Tena kipindi hicho wanachadema chuki zimewajaa wanahamasisha wanachama wanu kutomtambua,Nyomi ilikuwa ni wana CCM pekee,leo mama hakienda mahali anatafa support ya Wanaccm na wanachadema jumlisha na Act na wengine......ila umeona hapo juuu kapata views 124 tu!
Afya ya akili unaonea wivu hadi kaburi.
Umejuaje kama linarushwa sana kama halifuatiliwi wewe juha
Unawashauri nn mtu au kikundi kitakachochukia Magu aliyekufa kufuatiliwa na wengi kuliko walio hai?
Kwamba wasubiri wakifa nao watatrend?
Ukiwahi kuona video ya msiba wa huyu jamaa kipindi yupo uwanja wa ndege, na geti zimefungwa kilichofanyika umati ulivunja,uliwahi shuhudia huo umati?
Wewe ni mjinga .. Kwan Samia harushwi?? Mpaka Sasa TBC1 Kila siku wanarushwa mkutano wa Mkoa mmoja baada ya mwingine kumsifu ,yeye mwenye Kila anapoenda ni anarushwa tu, Wapinzani waamsifiaa .
Lkn kwann hapati watazamaji?.
Atakumbukwa Kama muuaji mkuu wa watu wasiojulikana.JPM atakumbukwa milele. Mtaongea sana ila kumbukumbu haitafutika.
Samia atapita na tutamsahau kama tulivyomsahau mkapa ila sio MWAMBA.
So far Magufuli 3- Msoga 0.
Wee bwanaa........ Magufulinists hawana muda huo wakutafita kitu .
Sisi tunaenda nanyie Kichwa Kichwa
Huyo aliye hai ana nini cha ziada?
Watu wanajipigia tu sasa hivi mimi ninakoishi yanakaa mabaraza hela zinatoka barabara zijengwe kwa kiwango cha lami wao wanaweka kifusi maji hamna barabara mbovu kila kitu kimesimama.
Ujinga tu.
Kama una wivu na Magu aliyekufa anafuatiliwa Kwa MAZURI yake, subiri Ukifa nawe utatrend.Anafuatiliwa na Nani na katika wanagapi? Watu wapo bize na mambo yao mnawaletea stori za wafu. Mnaboa Sana.
Si tukazika na jana ilikuwa kumbukizi yake ya miaka 2,views 52k tena ni marehemu na ugumu huu wa kupata bando watu wamejitahid,Aliye hai kuvumbua miradi ya vyakula views 124....Huoni kwamba bado nafasi ipo kwa wenye macho ya kuona mbali.Mnastage kitu ili mpate publicity. Halafu baada ya kuvunja nini kilifuata?.
Wewe ni kiazi watu yulifatilia hotuba za Magufuli kila mtaa kila tv nje na ndani kila daladala ilikuwa hatariSasa hapo mwenye viewers ni marehemu au Cardinal Polycap Pengo?
Enzi za uhai wake marehemu alikua akiambulia viewers sitini tu na hapo kajitahidi kweli
Miaka siita alikuwa madarakani haujawai sikia hotuba yake,au ndo unataka kuleta mambo yenu ya kijinga analeta Lema anakataa huku anakitumia!!!Hotuba gani?
Mkuu tupo hatua moja ya kuanza sisi kuokotwa kwenye viroba.Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .
Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.
Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.
View attachment 2556204
Hapo atakaye kumbukwa zaidi ni Ben Saanane kutokana na kilichomkutaTuanzishen Poll yetu humu.
Tuweke
A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)
B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).