JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli,kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!

Yeye awaumize CHADEMA kwenye utawal wake halafu chadema wamseme vizuri huyo ibilisi mnyonya damu?. Lazima asemwe vibaya Hadi ageuke huko kaburini muuaji mkubwa yule.
 
CDM wajinga, wameingizwa mkenge na wao wakaaingia!!

Watashangazwa kwelikweli.

Hawajui Kanda ya ziwa ndio ilikua Ngome Yao...

Na Kanda ya ziwa Kwa Sasa wanaichukulia CCM hii kama CCM ya Mwaka 2005-2015.

Mjinga mwenyewe, mnaleta ukanda Tanzania?. Huyo Magufuli wenu mbona alikuwa mwizi wa kura hakujua Kuna kanda ya Ziwa. Mnaongea kana kwamba watanzania ni wajinga Kama nyie.
 
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.

Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .

Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.

Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.

RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..

Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.

Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.

Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.

View attachment 2556204
Kutoka bilioni moja mpaka elfu 54
 
KAZI wanayo Nchi nzima Si lakezone pekee.

Magu alipendwa na Watanzania wote wa tabaka la chini.

Alipendwa na Nani?. Acheni mizuka. Mtu anayependwa anaogopa challenge? Kazidiwa na mwanamke karuhusu mikutano.
 
Hacha uhongo mzee,huyu JPm ni wa kipekeee hakuna hotuba alikuwa anafanya bila kuwa na umati wa watu,Tena kipindi hicho wanachadema chuki zimewajaa wanahamasisha wanachama wanu kutomtambua,Nyomi ilikuwa ni wana CCM pekee,leo mama hakienda mahali anatafa support ya Wanaccm na wanachadema jumlisha na Act na wengine......ila umeona hapo juuu kapata views 124 tu!

Hotuba gani?
 
Unawashauri nn mtu au kikundi kitakachochukia Magu aliyekufa kufuatiliwa na wengi kuliko walio hai?

Kwamba wasubiri wakifa nao watatrend?

Anafuatiliwa na Nani na katika wanagapi? Watu wapo bize na mambo yao mnawaletea stori za wafu. Mnaboa Sana.
 
Ukiwahi kuona video ya msiba wa huyu jamaa kipindi yupo uwanja wa ndege, na geti zimefungwa kilichofanyika umati ulivunja,uliwahi shuhudia huo umati?

Mnastage kitu ili mpate publicity. Halafu baada ya kuvunja nini kilifuata?.
 
Wewe ni mjinga .. Kwan Samia harushwi?? Mpaka Sasa TBC1 Kila siku wanarushwa mkutano wa Mkoa mmoja baada ya mwingine kumsifu ,yeye mwenye Kila anapoenda ni anarushwa tu, Wapinzani waamsifiaa .

Lkn kwann hapati watazamaji?.

Kwa hivyo shida yako ni kusifiwa Samiah au watazamaji?
 
Machawa na Makungunii
Jambo hili sio zuri kwenu
Nafahamuu linawaumiza sana kichwa .

Mnatembelea nyota za wengine

Mama yetu Mama Samia wewe ni mtu mwema sana na wa Muhimu sana katka Taifa letu.usikubali kudanganywa na wasaidizi wako.

Kubali hata wewe kuwa hapo mafanikio tulionayo kwa sasa kama Taifa

Hayati anamchango mkubwa sanaa.

Na uwapige Marufuku Machawa na Makunguni

Waache tabia ya kumbeza mtangulizi wako
 
JPM atakumbukwa milele. Mtaongea sana ila kumbukumbu haitafutika.
Samia atapita na tutamsahau kama tulivyomsahau mkapa ila sio MWAMBA.
So far Magufuli 3- Msoga 0.
Atakumbukwa Kama muuaji mkuu wa watu wasiojulikana.
 
Huyo aliye hai ana nini cha ziada?

Watu wanajipigia tu sasa hivi mimi ninakoishi yanakaa mabaraza hela zinatoka barabara zijengwe kwa kiwango cha lami wao wanaweka kifusi maji hamna barabara mbovu kila kitu kimesimama.

Ujinga tu.

Mbona ZUMARIDI ana viewers milioni moja.
 
Anafuatiliwa na Nani na katika wanagapi? Watu wapo bize na mambo yao mnawaletea stori za wafu. Mnaboa Sana.
Kama una wivu na Magu aliyekufa anafuatiliwa Kwa MAZURI yake, subiri Ukifa nawe utatrend.
 
Mnastage kitu ili mpate publicity. Halafu baada ya kuvunja nini kilifuata?.
Si tukazika na jana ilikuwa kumbukizi yake ya miaka 2,views 52k tena ni marehemu na ugumu huu wa kupata bando watu wamejitahid,Aliye hai kuvumbua miradi ya vyakula views 124....Huoni kwamba bado nafasi ipo kwa wenye macho ya kuona mbali.
 
Sasa hapo mwenye viewers ni marehemu au Cardinal Polycap Pengo?

Enzi za uhai wake marehemu alikua akiambulia viewers sitini tu na hapo kajitahidi kweli
Wewe ni kiazi watu yulifatilia hotuba za Magufuli kila mtaa kila tv nje na ndani kila daladala ilikuwa hatari

USSR
 
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.

Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .

Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.

Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.

RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..

Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.

Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.

Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.

View attachment 2556204
Mkuu tupo hatua moja ya kuanza sisi kuokotwa kwenye viroba.

Tunaelekea 2025. Wakiona upinzani ni mkali sana wa kifikra huwa wanaignite option ya Dead-Man's Chest naamini ulisoma chekechea za Cuba
 
Back
Top Bottom