JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

Baada ya mamlaka kushindwa kumfutia Magu ktk mioyo ya Watanzania Kwa KAZI njema alizofanya,

Hawana budi kutuletea kiongozi wa kaliba ya Magu mnamo 2025.
 
Hakuna cha ajabu, watu wakisikia hata nzi kwenye kinyesi hugeuka na kuangalia
 
Ebu nenda wewe katembelee kaburi lake Tuone atapata views wangapi ndo utaelewa. Cardinal Ndo ametazamwa
 
Ni kweli anaishi!!
Lakini moyoni mwako,.
Angalia unavyohangaika na marehemu
 
Ya Askofu Pengo 9. La 10 ni Askofu Severine ambaye kaamua kuyasema yote hazarani. Kaanza na ya Magufuli, katoa fa'twa kuwa tarehe 17 Machi ya kila mwaka tutasherehekea Misa ya kumbukizi la JPM. Hili ni tamko la Askofu sawa na Waraka kwa Wakorinto. Kaelezea kwa kirefu juu ya mtu huyu, kaishia kuelezea yaliyotokea Baraza la Maaskofu Ujerumani, akalaani. As long as tuna Mungu wetu kule juu, atatuchagua sie viumbe wake dhaifu kutangaza neno lake, leo kamchagua huyu Baba.
 
Samia sisi hatujamchagua tulimpigia kura Magufuli.

Hii ni awamu ya Magufuli mpaka 2025.

Samia ni Kaimu Rais tu.

Sasa ana kazi ya kutushawishi ili tuone kuwa anafaa.

Kama hafai tunachagua mwingine.
 
Baada ya mamlaka kushindwa kumfutia Magu ktk mioyo ya Watanzania Kwa KAZI njema alizofanya,

Hawana budi kutuletea kiongozi wa kaliba ya Magu mnamo 2025.
Doh!
Umeongea kile nataka!
 
Kwanza wewe ni muongo.
Hajafa kiroho, bali kimwili.
Haya yote tumwachie MUNGU wetu.
 
Samia sisi hatujamchagua tulimpigia kura Magufuli.

Hii ni awamu ya Magufuli mpaka 2025.

Samia ni Kaimu Rais tu.

Sasa ana kazi ya kutushawishi ili tuone kuwa anafaa.

Kama hafai tunachagua mwingine.
Unaongea as if kura yako uchwara inaweza kuamua nani awe Rais hapa TZ.
 
Ongeza viewers ongezaaaa bado kidogo tu atarudi
 
Acha kujipa moyo, harudi huyo.
 
Ukiweka Video ya Shetani ama ya Amba Rutty YouTube itaangaliwa na Dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…