Kwani watazamaji walikuwa wanamtazama marehemu au wakimtazama Pengo akizuru kaburi la marehemu?Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???
Aliyehai anapata Watazamaji 123 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watazamaji walikuwa wanamtazama marehemu au wakimtazama Pengo akizuru kaburi la marehemu?Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???
Aliyehai anapata Watazamaji 123 🤣🤣
Hakuna cha ajabu, watu wakisikia hata nzi kwenye kinyesi hugeuka na kuangaliaHuyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji, Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM.
WaWanasiasnina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM. Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE.
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe?
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?
Pole sana. Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang, kuendelea kuukwepa ukweli.
Ch ajabuView attachment 2556204
Ya Askofu Pengo 9. La 10 ni Askofu Severine ambaye kaamua kuyasema yote hazarani. Kaanza na ya Magufuli, katoa fa'twa kuwa tarehe 17 Machi ya kila mwaka tutasherehekea Misa ya kumbukizi la JPM. Hili ni tamko la Askofu sawa na Waraka kwa Wakorinto. Kaelezea kwa kirefu juu ya mtu huyu, kaishia kuelezea yaliyotokea Baraza la Maaskofu Ujerumani, akalaani. As long as tuna Mungu wetu kule juu, atatuchagua sie viumbe wake dhaifu kutangaza neno lake, leo kamchagua huyu Baba.Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji, Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM.
WaWanasiasnina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM. Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 [emoji1787] haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE.
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe?
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?
Pole sana. Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang, kuendelea kuukwepa ukweli.
View attachment 2556204
Doh!Baada ya mamlaka kushindwa kumfutia Magu ktk mioyo ya Watanzania Kwa KAZI njema alizofanya,
Hawana budi kutuletea kiongozi wa kaliba ya Magu mnamo 2025.
Jijibu mwenyeweKwani watazamaji walikuwa wanamtazama marehemu au wakimtazama Pengo akizuru kaburi la marehemu?
Hii ndio ile Phd ambayo kuna mtu alitaka kupata data zake akapotezwa?Tuanzishen Poll yetu humu.
Tuweke
A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)
B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Unaongea as if kura yako uchwara inaweza kuamua nani awe Rais hapa TZ.Samia sisi hatujamchagua tulimpigia kura Magufuli.
Hii ni awamu ya Magufuli mpaka 2025.
Samia ni Kaimu Rais tu.
Sasa ana kazi ya kutushawishi ili tuone kuwa anafaa.
Kama hafai tunachagua mwingine.
No way out.Doh!
Umeongea kile nataka!
Hawa vijana wanaotamani urais wanachukia sana Jin's Magu alivyoziba fursa Yao kushine.Imfikie Makamba na Nape!
Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji, Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM.
WaWanasiasnina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM. Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE.
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe?
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?
Pole sana. Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang, kuendelea kuukwepa ukweli.
View attachment 2556204
Ha ha ha tabula rasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Raisi wako na nani wewe kichwa panzi!
Umelazimishwa kupitia huu uzi tabula rasa wewe

Ukiweka Video ya Shetani ama ya Amba Rutty YouTube itaangaliwa na Dunia nzimaHuyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.