JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

Hizo views hazifiki hata moja ya kumi 1/10 ya wimbo wa 'Sukari' wa Zuchu ndani ya saa sita tuu
Acha Ushamba wa views
 
Tuanzishen Poll yetu humu.

Tuweke

A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)

B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Haita kusaidia chochotw kwa sababu ukweli utabaki palepale kwamba magufuli hayupo kafa keshaoza huko mchangani na samia yupo na ni Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania na wewe ukiwa chini yake,full stop
 
Kuna watu wanalazimisha pm aabudiwe hata km tayar alishatangulia.yan wanataka hii siku aliyofariki iwe kama siku ya mapumziko kwao na kelele nyingi.

Mbona mnalazimisha mambo ndugu zetu nyie

Mnaonekana mlikuwa wanafaika wakubwa na roho zinawauma

Basi mwambieni zumarudi afanye jambo

Huyo pengo roho Ina muuma samia kuwa rais

Mana chai alikuwa anakunywa ikulu kipindi kile kabla mambo hayaja badilika
 
Hakuna kiongzi wa serikali aliyekwenda huko jana isipokuwa mkuu wa mkoa wa Geita na machawa wachache wa jpm kama Kalemani na Bashungwa.

Tena ujue kwamba Pengo alikuwa anakwenda jimboni Geita ambako leo ametabaruku Kanisa Kuu so alipita tu kwa bahati mbaya.
 
Samia sisi hatujamchagua tulimpigia kura Magufuli.

Hii ni awamu ya Magufuli mpaka 2025.

Samia ni Kaimu Rais tu.

Sasa ana kazi ya kutushawishi ili tuone kuwa anafaa.

Kama hafai tunachagua mwingine.
Gambo ushashiba maghimbi ss unakuja kubehua huku[emoji3061]
 
Hata shetani mkuu(lucipher) ana watazamani wengi kwa kuwa wengi wanamshangaa na ushetani wake.
Angalia wafuatiliaji wa hitler,musolin,idiamin,sadam,gadaf ni watu wabaya wanatred hadi leo
 
Tuanzishen Poll yetu humu.

Tuweke

A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)

B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Naona wewe una lako jambo!

Lakini ninakubaliana na pendekezo lako hapo; ila JF ilivyo utakuta wanaopiga kura ni wa makundi, 'fanatic' wa kila upande. Kwa hiyo huwezi kupata picha iliyo sahihi.
 
Wa sahizi si ana chawa wake kabisa wa kumtukuza, lini alikemea?
 
Hata shetani mkuu(lucipher) ana watazamani wengi kwa kuwa wengi wanamshangaa na ushetani wake.
Angalia wafuatiliaji wa hitler,musolin,idiamin,sadam,gadaf ni watu wabaya wanatred hadi leo
Ebu elezea ubaya wa hao watu uliowaorodhesha kwanza tuujue kama siyo kukaririshwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…