Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wewe ni mjingaa kiasi hujui kuwa every vote counts na Miaa inaanza na moja.Unaongea as if kura yako uchwara inaweza kuamua nani awe Rais hapa TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mjingaa kiasi hujui kuwa every vote counts na Miaa inaanza na moja.Unaongea as if kura yako uchwara inaweza kuamua nani awe Rais hapa TZ.
Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji, Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM.
WaWanasiasnina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM. Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE.
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe?
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?
Pole sana. Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang, kuendelea kuukwepa ukweli.
View attachment 2556204
Haita kusaidia chochotw kwa sababu ukweli utabaki palepale kwamba magufuli hayupo kafa keshaoza huko mchangani na samia yupo na ni Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania na wewe ukiwa chini yake,full stopTuanzishen Poll yetu humu.
Tuweke
A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)
B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji, Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM.
WaWanasiasnina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM. Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE.
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe?
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?
Pole sana. Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang, kuendelea kuukwepa ukweli.
View attachment 2556204
Gambo ushashiba maghimbi ss unakuja kubehua huku[emoji3061]Samia sisi hatujamchagua tulimpigia kura Magufuli.
Hii ni awamu ya Magufuli mpaka 2025.
Samia ni Kaimu Rais tu.
Sasa ana kazi ya kutushawishi ili tuone kuwa anafaa.
Kama hafai tunachagua mwingine.
Hata shetani mkuu(lucipher) ana watazamani wengi kwa kuwa wengi wanamshangaa na ushetani wake.Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.
Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.
Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!
Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji, Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM.
WaWanasiasnina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM. Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.
Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu.
Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 [emoji1787] haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah.
RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE.
Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe?
Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?
Pole sana. Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang, kuendelea kuukwepa ukweli.
View attachment 2556204
Jinyonge ukaungane nae na wewe utakuwa wa ajabuModerator, Huu Uzi nmeuweka kama kumbukumbu yangu
Nawaombeni sana sana sana, Msiuunganishe.
Haya ni maajabu Ndugu zangu maajabu maajabu
SamiaTuanzishen Poll yetu humu.
Tuweke
A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)
B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Naona wewe una lako jambo!Tuanzishen Poll yetu humu.
Tuweke
A) Hayati JPM (PhD ya Kusomea)
B) Dokta Samia ( PhD ya kupewa).
Kama mbowe alivyomuua chacha wangweAtakumbukwa Kama muuaji mkuu wa watu wasiojulikana.
Wa sahizi si ana chawa wake kabisa wa kumtukuza, lini alikemea?Huenda watu hawaamini kama kafa kweli maana hata yeye mwenyewe nadhani aliamini ni Mungu kwa kupenda kutukuzwa.
Hajawahi kukemea kuitwa nakufananishwa na majina kama Mungu ama Yesu.
Zumaridi na upumbav. u wake wote kwamba sijui alienda mbinguni na madude ya kijinga huwa anafuatiliwa na watazamaji zaidi ya 100k.
Ebu elezea ubaya wa hao watu uliowaorodhesha kwanza tuujue kama siyo kukaririshwa?Hata shetani mkuu(lucipher) ana watazamani wengi kwa kuwa wengi wanamshangaa na ushetani wake.
Angalia wafuatiliaji wa hitler,musolin,idiamin,sadam,gadaf ni watu wabaya wanatred hadi leo
Usituletee habari za masimulizi hapa kama ulivyosoma historia ukaambiwa binadamu alianzia kuwa nyani kabla ya kuwa binadamu kamili think big!!!!!!!!Ebu elezea ubaya wa hao watu uliowaorodhesha kwanza tuujue kama siyo kukaririshwa?
Bado hajamfikia Idd Amin DadaMarehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???
Aliyehai anapata Watazamaji 123 [emoji1787][emoji1787]