JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

Binaadam timamu ni yule mwenye kwao, sasa kama umehifadhiwa ugenini kwa mkimbizi, utapata wapi thamani ya kuwa binaadam kamilifu🄱
Aahh sawa Kwa maneno haya itoshe tu kusema wee ni kajinga.
 
Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .
Huoni hapo tukianza kufuatilia ndio mwanzo wa kuongeza views?
Huyu mama yetu bado sana kumfikia JPM! Huyu alikuwa rais Mwenye kujua mamlaka ya urais na kufanyia kazi
 
Aahh sawa Kwa maneno haya itoshe tu kusema wee ni kajinga.
Hii ni sifa njema sana kama wewe hauna hii sifa ya ujinga basi iliyobaki ni sifa ya upumbavu. Mjinga ni fursa ya kuelewa, mpumbavu hang'amua jambo hata upumbavu wake ulio wazi.
 
Huoni hapo tukianza kufutilia ndio mwanzo wa kuongeza views?
Huyu mama yetu bado sana kumfikia JPM! Huyu alikuwa rais Mwenye kujua mamlaka ya urais na kufanyia kazi
Amepwayaa paaaaaaa paaaaaaa na amepwayika kwelikweli .

Yaaan anabahati mbaya, mtu aliyefata baada ya JPM ana bahati mbaya sana !!.

Ukifanya kitu, Watanzania wanakupima, mbaya zaidi Kioo wanachotumia watanzania kupima ni Marehem !!

Unawazaaaaa, Mimi Niko Hai...ila Watanzania wanamsifu Marehemu .
 
Tafuta Video zingine Pengo ,akiwa kwenye matembezi au mawosia yake.

Uone jez Ina watazamaji kama waliopo Kwa yeye kutembelea Kaburi?.

Mbona umeandika kama vile Hauna akili ?.
Don't panic chill otherwise usingeleta hili bandikošŸ˜…ungekaa nalo geto kwako ukajadili na Wenye akili wenzio šŸ˜…šŸ˜…šŸ™…
 
Lazima watu waangalie asije fufuka.

Bado kufa mara ya pili
Msoga Gang/ Upinzani hewaaa .

Alafu jisahaulisheni , Mwaka 2025, motoo utawawakia na hamtaamini !!.

Mmeingizwa Kwa mtego na nyie mmeingia !!.

Subirini.
 
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.

Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .

Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.

Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 [emoji1787] haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.

RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..

Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.

Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.

Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.

View attachment 2556204
Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli,kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!
 
Don't panic chill otherwise usingeleta hili bandikošŸ˜…ungekaa nalo geto kwako ukajadili na Wenye akili wenzio šŸ˜…šŸ˜…šŸ™…
Ndio sababu nmekuambia Mbona umeandika kama huna akili?.

Mwenye akili kwanza, anafatilia kujua habari za Kadinali nje ya JPM zipoje ?.

Ndo anakuja kulinganisha, habari za Kadinali Kwa JPM.

Kisha anapima, ninani kampa mwenzie watu?.
 
Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli,kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!
CDM wajinga, wameingizwa mkenge na wao wakaaingia!!

Watashangazwa kwelikweli.

Hawajui Kanda ya ziwa ndio ilikua Ngome Yao...

Na Kanda ya ziwa Kwa Sasa wanaichukulia CCM hii kama CCM ya Mwaka 2005-2015.
 
Sasa hapo mwenye viewers ni marehemu au Cardinal Polycap Pengo?

Enzi za uhai wake marehemu alikua akiambulia viewers sitini tu na hapo kajitahidi kweli
Tukio aliofanya Pengo na kwenda kwa Hayati Magufuli ndiyo limefanya afuatiliwe!
 
Weee acha unakaa, na unafiki wa wazi .

Unafiki unawasaidia nn?.

JPM alikua Kila anapoongea na Taifa au Wananchi.... NCHI YOTE INAKAA KIMYA KUMSIKILIZA.
Watu tulikuwa tukisikia atahutubia taifa kama tupo mishe tulikuwa tunasogelea Bar ya jirani kusikiliza hotuba.Yule Mzee alikuwa na uwezo mkubwa sana!
 
Mama jana alikuwa na tapeli la kimataifa Rosti Maini Mizizi na Mzee wa Mission town!
Ila ninaowasikitikia ni CDM kuingia mkenge wa kumponda Magufuli,kazi wanayo kwenye Uchaguzi eneo la Kanda ya ziwa.Sisi yetu macho na masikio!
KAZI wanayo Nchi nzima Si lakezone pekee.

Magu alipendwa na Watanzania wote wa tabaka la chini.
 
CDM wajinga, wameingizwa mkenge na wao wakaaingia!!

Watashangazwa kwelikweli.

Hawajui Kanda ya ziwa ndio ilikua Ngome Yao...

Na Kanda ya ziwa Kwa Sasa wanaichukulia CCM hii kama CCM ya Mwaka 2005-2015.
Kwahiyo sasa Kanda ya ziwa 2025 uchaguzi wenu ni nini.

CCM hamuitaki na chadema hamuwataki
 
Sasa hapo mwenye viewers ni marehemu au Cardinal Polycap Pengo?

Enzi za uhai wake marehemu alikua akiambulia viewers sitini tu na hapo kajitahidi kweli
Hacha uhongo mzee,huyu JPm ni wa kipekeee hakuna hotuba alikuwa anafanya bila kuwa na umati wa watu,Tena kipindi hicho wanachadema chuki zimewajaa wanahamasisha wanachama wanu kutomtambua,Nyomi ilikuwa ni wana CCM pekee,leo mama hakienda mahali anatafa support ya Wanaccm na wanachadema jumlisha na Act na wengine......ila umeona hapo juuu kapata views 124 tu!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom