Jamvi la Habari lawakalia kooni viongozi CWT

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Inawezekana ikawa ni mbinu ya kugawanya na kutawala (divide and rule)?

Ni nani wako nyuma ya hii vita?

 
Hawa CWT wanaweza kusubiri, tunahangaika kwanza na issue ya bandari.
 
Hawa CWT wanaweza kusubiri, tunahangaika kwanza na issue ya bandari.
Ni kweli suala la bandari ni muhimu sana.
Lakini tukumbuke tu kwamba rasilimali nyingi za nchi hii zinasimamiwa na wanaojiita 'wawekezaji' ambao hutumia fedha za watanzania kuendesha miradi ya watanzania. "Hii nchi imeliwa sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…