JAMVI LA WANAUME: Kwanini mnapenda kutukula kabla hatujaoga?

JAMVI LA WANAUME: Kwanini mnapenda kutukula kabla hatujaoga?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Naomba mje mtuelezee, mbona huwa hamsubiri tuoge ndiyo mtuvamie tuwape tamu?

Umetoka zako kwenye sherehe au kazini mwenzako huyo maungoni, unamwambia “baba Junior subiri kidogo nikaoge” utasikia hapana nataka sasa hivi, huku anatoa kyupi anakuinamisha.

Huwa inakuwaje, mnapenda kutukula na majasho jasho yetu au mnakua mmezidiwa?

giphy.gif
 
Back
Top Bottom