Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #21
Kwahiyo huwa mnatukula na majasho yetu ili mtusaidie tusisumbuke 😅😅😅Tunataka ukienda kuoga ukaoge jumla sio ukaoge halafu nije nikuchape halafu ukaoge tena, so huwa ni katika namna yakufufisha usumbufu wakuoga mara nyingi!.