JAMVI LA WANAUME: Kwanini mnapenda kutukula kabla hatujaoga?

Yani wewe una hekaheka 😂 😂 😂 jilie minyama tu, hakuna namna!
 
Hapana, tunataka tu kujua ikiwa huko hawakukukula

 
Tuwakule mmekuwa msosi au kitimoto
 
Kwani hujui sie ni msosi, mtamu, wa moto moto?
Kudadeki kwanza wee ni mwanaume, hakuna mwanamke anaweza kuandika vitu kama hivi Kwa kujiamini kiasi hiki, na ujiandae kulambwa nyuma Kwa kujifanyisha mwanamke,

Na kama kweli wewe ni mwanamke basi wewe ni kahaba promax Tena lililo kubuhu
 

wewe Mshangazi dot com uwe unanitag ukitupia burudani kama hizi...chaaa!
 
Kudadeki kwanza wee ni mwanaume, hakuna mwanamke anaweza kuandika vitu kama hivi Kwa kujiamini kiasi hiki, na ujiandae kulambwa nyuma Kwa kujifanyisha mwanamke,

Na kama kweli wewe ni mwanamke basi wewe ni kahaba promax Tena lililo kubuhu
Kilichoandikwa cha ajabu ni nini? Acha kukariri maisha kijana!

Kama hujazoea kuona wanawake wanaojiamini na kuzungumzia raha zao na maisha yao ya mapenzi kama wanaume wanavyofanya kila siku humu JF, basi karibu jamvini kwa mshangazi, vuta kiti ukae kwa kutulia.

Chochote ninachojisikia kuandika, naandika, sipangiwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…