JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

Nimeshirikishwa mkasa wa binti mdogo wa miaka 23 ambaye ameingia kwenye ndoa wiki kadhaa zilizopita. Baada ya ndoa, mumewe ameanza kumuomba wafanye mapenzi kinyume na maumbile, jambo ambalo hakuwahi kufanya hapo kabla. Ilipotokea siku ya kwanza hakusema moja kwa moja, ila katikati ya kushiriki tendo alijifanya kama kakosea na kutaka kumuingilia kinyume, alivyoona binti hatoi ushirikiano hakuendelea ila siku inayofuata akamwambia live kwamba atafurahi zaidi akiwa anampa unyumba pia ampe Yas.

Binti yuko njia panda, ndoa bado changa sana, hataki kupeleka hili tatizo kwa wazazi maana ni aibu ila pia anahofia asipomkubalia mumewe ataenda kutafuta anachokikosa kwa mtu mwingine.

Tusaidiane kumshauri (kwa hekima na siyo kumkebehi, kumchamba au kuandika maneno yasiyofaa ya kumdhihaki) nitamtumia replies zenu!

View attachment 3237530
Akikubali, (day one), inamaana itakuwa ni mwendelezo siyo jukwaa langu ila nimeguswa sana na hii mada, pendekezo langu ashirikishe mshenga na watu wa dini Kwa maana hili halifai
 
Nifafanulie kidogo, yani kutoka nje ya ndoa ni sehemu ya uanaume wenu au ni tabia tu ya baadhi yenu?
Ni nature ya jinsia Me, iwe kwetu binadamu au wanyama. Hata akipewa mwanamke wa ndoto zake, baada ya muda atatoka tu nje.
 
Hii ndo dawa yao Mbwa hawa maana viki tongozwa tngozwa vinajiona Dunia yote ni ya kwao
 
Ngoja nikuambie kitu .
Wanaume wakishaona umetumika wanaomba .
Kama uke ni mkubwa au hauridhishi ataomba huko ilinaridhike .

Jingine kuna wanaume hawawezi kuishi bila kufumua watu marinda awe anakubwa au ndogo so hujui lakufanya.

Mwambie aondoke tu wala asisubirie kufa . Tigo ni kifo . Sio kuharibiwa tu mwambie achane na hiyo ndoa mie nilishaacha mtu kwa ajili hiyoo.
 
Wanangu kwan ukiomba yas unapewaaa nitajaribu kwa mama watoto
 
Ngoja nikuambie kitu .
Wanaume wakishaona umetumika wanaomba .
Kama uke ni mkubwa au hauridhishi ataomba huko ilinaridhike .

Jingine kuna wanaume hawawezi kuishi bila kufumua watu marinda awe anakubwa au ndogo so hujui lakufanya.

Mwambie aondoke tu wala asisubirie kufa . Tigo ni kifo . Sio kuharibiwa tu mwambie achane na hiyo ndoa mie nilishaacha mtu kwa ajili hiyoo.
Wewe sema kweli siungetoa tu yas shida nn
 
Nimeshirikishwa mkasa wa binti mdogo wa miaka 23 ambaye ameingia kwenye ndoa wiki kadhaa zilizopita. Baada ya ndoa, mumewe ameanza kumuomba wafanye mapenzi kinyume na maumbile, jambo ambalo hakuwahi kufanya hapo kabla. Ilipotokea siku ya kwanza hakusema moja kwa moja, ila katikati ya kushiriki tendo alijifanya kama kakosea na kutaka kumuingilia kinyume, alivyoona binti hatoi ushirikiano hakuendelea ila siku inayofuata akamwambia live kwamba atafurahi zaidi akiwa anampa unyumba pia ampe Yas.

Binti yuko njia panda, ndoa bado changa sana, hataki kupeleka hili tatizo kwa wazazi maana ni aibu ila pia anahofia asipomkubalia mumewe ataenda kutafuta anachokikosa kwa mtu mwingine.

Tusaidiane kumshauri (kwa hekima na siyo kumkebehi, kumchamba au kuandika maneno yasiyofaa ya kumdhihaki) nitamtumia replies zenu!

View attachment 3237530
Tukiwaambia mabinti wa Bara hacha kukimbilia kuolewa Zenji nyie huh amtuelewi
 
Asikubali kubomolewa marinda,mme akiendelea kulazimisha jambo lifike kwa mshenga,viongoz wa dini na wazazi
 
Anataka kurahibikiwa,swala la mtu kutaka kufanya mapenzi kinyume na maadili inadhihirisha kwamba Hana itimamu wa akili,wakati mwingine Huwa wanawaingilia hata ndugu wa karibu ,hata watoto wao wa kuwazaa.kwa kifupi ameolewa na punguani.
 
Back
Top Bottom