Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nakumbuka nilifuatilia mkasa wako so naelewa kwanini uko skeptical na experiences za wanawake.Nilichokuja kujifunza kwenye maisha kuhusu wanawake ni hili : they are the BEST at PLAYING VICTIMS even for the problems they caused. They are very best at crafting fake and false stories to gain sympathetic attention.
Ni watu hatar sana. Ukimsikiliza mwanamke anaesema ananyanyaswa basi MSIKILIZE KWA MAKINI SANA na usimuamini moja kwa moja. Jaribu ku triangulate hiyo taarifa anayokupa
Nimeipenda hiiUtegemezi wa kiuchumi ni moja ya sababu kuu za manyanyaso kwenye mahusiano na mateso kwa watoto endapo mume ataondoka au kufariki.
Nashukuru mwishoni umetumia neno "kasumba".Something like this inatuvunja moyo kabisa wanaume, and this leads to us trying to paralize women economically. Hata kama hakijatokea kwa kila mmoja wetu, lakini tunakua na ile kasumba ya mwenzako akinyolewa, zako tia maji.
Victim mentality 101.Nashukuru mwishoni umetumia neno "kasumba".
Ni kasumba pia kwamba wanaume wanaotaka wake zao kuwa mama wa nyumbani ni insecure na wakatili. Ila tunajua kwamba kasumba hupotoshwa kwa sababu ni sehemu ndogo tu ya uhalisia inayokuzwa na kufanywa uhalisia kamili.
Kwa hilo kama ni kweli, jamaa kakosea sana. Na karma haitamuacha salama!. Hv unawezaje ukaishi comfortable na unajua umemuumiza mtu na kujuachia mzigo wa maumivu, tena ni damu yako ? Huyu jamaa dunia itashughulika nae, haitamuacha hiv hivNakumbuka nilifuatilia mkasa wako so naelewa kwanini uko skeptical na experiences za wanawake.
Kwa huyu dada, mume wake ameondoka kwa sababu amejifungua mtoto mwenye ulemavu na amesema kwao hawana historia hiyo, so hawezi kubeba mzigo wa kumuhudumia huyo mtoto. Sasa hapa mwanamke ana fault gani?
I'm sure wapo wanawake ambao watabadilika, kwa sababu pesa huibua tabia nyingi zilizojificha. Same ambavyo kuna wanaume ambao huaanza maisha na wake zao kwenye shida na wakipata pesa na mali hubadilika.Victim mentality 101.
Swali simple, je hao wanwake wote walio mama wa nyumbani, wakiweza kiuchumi, are you sure hawatabadilika?
Hii ni logical lie.Nashukuru mwishoni umetumia neno "kasumba".
Ni kasumba pia kwamba wanaume wanaotaka wake zao kuwa mama wa nyumbani ni insecure na wakatili. Ila tunajua kwamba kasumba hupotoshwa kwa sababu ni sehemu ndogo tu ya uhalisia inayokuzwa na kufanywa uhalisia kamili.
Pole zake, wanaume wanaofanya hivi ni wa hovyo sana sanaaaa!Anyway, pole kwa huyo dada, mtaani kwetu hapa kuna binti nae ameachwa kisa amezaa mlemavu namuona namna anavyopambana na mwanae mpaka namuhurumia
Haaa haaaaa, watakuja tu kutoa ya moyoni 😅Ngoja nitulie nione comments za wanawake wa humu..mje sasa mtoe ya moyoni
Mshangazi dot com 😊
Mkuu aliyokufanyia mkeo si wanawake wote hufanya hayo yani ndio shida ya wanaume mlioumizwa kama ninyi, naona sasa hivi umeshakuwa msambazaji mkubwa wa sumu dhidi ya wanawake pengine kuliko hata ulivyokuwa kabla mkeo hajakutendea aliyokutendea, watu kama ninyi ni wabaya sana na wa kuchungwa sana mnafanya hata wanaume wanyanyasaji nao wajifiche kwenye kivuli chenu stop this crapNilichokuja kujifunza kwenye maisha kuhusu wanawake ni hili : they are the BEST at PLAYING VICTIMS even for the problems they caused. They are very best at crafting fake and false stories to gain sympathetic attention.
Ni watu hatar sana. Ukimsikiliza mwanamke anaesema ananyanyaswa basi MSIKILIZE KWA MAKINI SANA na usimuamini moja kwa moja. Jaribu ku triangulate hiyo taarifa anayokupa
Maisha ya mahusiano ya mwanamke msomi na mwenye pesa, ni magumu sana siku hizi ni kama ndoa za namna hizo haziwezekani📌📌Wanawake ni walalamishi sana, na huwa wanafikiri matatizo yao yanasababishwa na wanaume au wanaume ndio adui yao namba moja katika maisha yao.
Swali ilijulikana kuwa mwanamke ni kwasababu anakosa fursa, alipopewa fursa dunia imeshuhudia tabia za kila rangi kwa wanawake, wapo wanaume waliojitoa kusomesha wanawake, kuwainua kwa kuwapa mitaji ikawa tatizo na ndoa zikasambaratika au mahusiano yaliota mbawa.
Maisha ya mahusiano ya mwanamke msomi na mwenye pesa, ni magumu sana siku hizi ni kama ndoa za namna hizo haziwezekani