Jamvi la wanawake: Dunia ni katili sana kwa wanawake maskini

Mtu lazima afanye Kazi
Usipofanya Kazi lazima Dunia iwe katili kwako bila kujali ni mwanaume au mwanamke.

Huyo mwanamke akafanye Kazi. Alitegemea awe mvivu na alishwe alafu asiteswe?
 
Kwahiyo inamaanisha mama wa nyumbani, anayelea watoto na kuhudumia familia ni lazima ateswe 🤦‍♀️
 
Tuwahimize wadogo zetu wa kike watoto wetu wa kike ndugu zetu wa kike kujitafutia chake kujituma kwenye utaftaji Ili anapokua na mwanaume au kuolewa pesa ya mwanaume isimfanye awe mmtumwa
Huyo bint angekua ni mtu na Shughuli zake za kujiongezea kipato sidhan kama angeona ni mzigo angepambana kuhakikisha mtoto hakosi huduma

Trust me Kuna Ile nguvu IPO ndan yetu wanawake pale panapokuja kwenye maswala la watoto tuko radhi Kwa lolote lenye Halali Ili watoto wapate chochote kitu
Umesema vizuri sana mami, tuendelee kuwahimiza tu!
 
Kubalini ukweli hata kama unauma
Hata sijafahamu ukweli gani unaouzungumzia hapo. And i wonder how mtu ukomalie wengine wakubaliane na mtazamo wako kama unavyofanya wewe hapa. Toa maoni yako ,changanya vidole hivyo usonge mbele. Kukaa unakomaa na maoni tofauti na yako wanayotoa wengine inashangaza kidogo, are you getting paid or something????
 
Hata wanaume ambao ni masikini huwa wanateseka sana ushawahi kujiuliza mwanaume anasaidiwa na Nani???

Since women support women
Men support women
NGO's support women
Government support women

Men do not get any support from anyone if they don't hustle themselves.🙂‍↔️🙂‍↔️🙂‍↔️💪
 
Hata sijafahamu ukweli gani unaouzungumzia hapo. And i wonder how mtu ukomalie wengine wakubaliane na mtazamo wako kama unavyofanya wewe hapa. Toa maoni yako ,changanya vidole hivyo usonge mbele. Kukaa unakomaa na maoni tofauti na yako wanayotoa wengine inashangaza kidogo, are you getting paid or something????
Hivi unajua maana ya mjadala mjadala ni pamoja na kumkosoa mtu pale unapoona anapotosha wewe ukiamua kumhukumu ex wife wako ni sawa hatuwezi kukupinga maana hatujui mliishi naye vipi, ila kitendo cha kuwahukumu wanawake wote na kusema eti wanapenda kujifanya victims hatuwezi kufumbia macho maana kuna watu watasoma na wataamini huo uongo wako, ni kama tu wanaume namna ambavyo huwa mnamshambulia na kumtukana mtu yeyote anayekosoa wanaume na kutetea wanawake so wewe ungetoa hoja kulingana na mwanamke aliyeongelewa kwenye mada na si wanawake wote
 
Nafikiri bas kuna mahala hujaelewa nilicho comment. Ila but just because you think you know my little history ukaamua ku take advantage of that uitumie kuni judge under your personalized sentiments. Suala la ex wife wangu hapa linaingilia wapi mdogo angu?
Hiv kwa umri wangu huu unafikiri siujui ulimwengu wa wanawake na maswahibu yao ila experience pekee nilionayo ni ya mwanamke nilifunga naye ndoa tu??? Yan unafikiri knowlege yangu kuhusu wanawake ime revolve around that shithole woman alone? Do you think so?? Kwamba naishi sayar ya peke yangu sanaa kias kwamba sioni namna mambo yalivyo?

EXpand your self-concept uyatazame mambo kwa upana. Halaf jitahid sana kutochukulia mambo personal. Na hii ni tabia ya wanawake wengi.
 
Hata wanawake wanayajua maswahibu mengi ya wanaume lakini mara nyingi huwezi kukuta wanafanya hasty generalizations kwamba wanaume wote wako hivi na vile, humu jf kati ya wanaume na wanawake wanaume ndio wanaongoza kuchukulia mambo personal yani wanaume hata ukimhukumu mwanaume mmoja tu wengi wanakujia juu na matusi, ila wanawake hatuna shida ukimhukumu mwanamke mmoja ambaye ndiye kakufanyia ubaya shida itakuja pale ambapo utajaribu kutuhukumu wote
 
Tuwahimize wadogo zetu wa kike watoto wetu wa kike ndugu zetu wa kike kujitafutia chake kujituma kwenye utaftaji Ili anapokua na mwanaume au kuolewa pesa ya mwanaume isimfanye awe mmtumwa
Huyo bint angekua ni mtu na Shughuli zake za kujiongezea kipato sidhan kama angeona ni mzigo angepambana kuhakikisha mtoto hakosi huduma

Trust me Kuna Ile nguvu IPO ndan yetu wanawake pale panapokuja kwenye maswala la watoto tuko radhi Kwa lolote lenye Halali Ili watoto wapate chochote kitu
Kila jambo ni zuri ukiutafuta uzuri wake na kila jambo ni baya ukiutafuta ubaya wake.

Mwanamke kufanya kazi ni kuzuri sana na pia ni kubaya sana

Mwanamke kuwa mama wa nyumbani ni kuzuri sana na ni kubaya sana.

Tuko kwenye hatua ambayo tunahama kutoka kwenye mfumo dume kuingia kwenye usawa wa kijinsia. Tatizo lililopo ni kwamba tunaenda Kanaani wakati bado tunavitamani vya Misri.

Kwenye haki yoyote lazima wajibu utangulie. Bahati mbaya sisi tunapenda haki kuliko kutimiza wajibu.
Wanawake wengi wanataka haki ya uhuru wa kiuchumi lakini hawataki kutekeleza wajibu wa uhuru wa kiuchumi. Mfano mwanamke atataka afanyekazi lakini hataki kuulizwa pesa yake inafanya nini, inaenda wapi na inatumikaje. Wakati huo huo yeye anataka ajue pesa ya mwanaume inatumikaje. How possible is that?
(Mwnamke wa kisasa anataka ahudumiwe kama mwanamke wa zamani)

Kwa upande wa wanaume nako wanatakiwa kutambua kuwa ukisaidiwa majukumu yako (wajibu) basi jua pia madaraka yako (haki) zako zitapungua. Mfano kama mkeo anakusaidia kutafuta pesa ya kula, kodi na bills nyingine jua kabisa hatopata muda wa kuwajibika na wewe mfano kukupikia, kukufulia, utaanza kupimiwa sex na hata unyenyekevu wako kwako utapungua. How possible unataka usaidiwe halafu uendelee kuwa superior?
(Mwanaume wa kisasa anataka madaraka ya mwanaume wa zamani)

Unapochagua mfumo wowote maishani hakikisha unaujua vizuri, unajua kwanini umeuchagua, unajue faida na hasara zake na namna ya kukabiliana nazo. Na mwisho kabisa uwe tayari kuuishi.
 
Hata wanawake wanayajua maswahibu mengi ya wanaume lakini mara nyingi huwezi kukuta wanafanya hasty generalizations kwamba wanaume wote wako hivi na vile, humu jf kati ya wanaume na wanawake wanaume ndio wanaongoza kuchukulia mambo personal yani wanaume hata ukimhukumu mwanaume mmoja tu wengi wanakujia juu na matusi, ila wanawake hatuna shida ukimhukumu mwanamke mmoja ambaye ndiye kakufanyia ubaya shida itakuja pale ambapo utajaribu kutuhukumu wote
Haya
 
Kila jambo ni zuri ukiutafuta uzuri wake na kila jambo ni baya ukiutafuta ubaya wake.

Mwanamke kufanya kazi ni kuzuri sana na pia ni kubaya sana

Mwanamke kuwa mama wa nyumbani ni kuzuri sana na ni kubaya sana.

Tuko kwenye hatua ambayo tunahama kutoka kwenye mfumo dume kuingia kwenye usawa wa kijinsia. Tatizo lililopo ni kwamba tunaenda Kanaani wakati bado tunavitamani vya Misri.

Kwenye haki yoyote lazima wajibu utangulie. Bahati mbaya sisi tunapenda haki kuliko kutimiza wajibu.
Wanawake wengi wanataka haki ya uhuru wa kiuchumi lakini hawataki kutekeleza wajibu wa uhuru wa kiuchumi. Mfano mwanamke atataka afanyekazi lakini hataki kuulizwa pesa yake inafanya nini, inaenda wapi na inatumikaje. Wakati huo huo yeye anataka ajue pesa ya mwanaume inatumikaje. How possible is that?
(Mwnamke wa kisasa anataka ahudumiwe kama mwanamke wa zamani)

Kwa upande wa wanaume nako wanatakiwa kutambua kuwa ukisaidiwa majukumu yako (wajibu) basi jua pia madaraka yako (haki) zako zitapungua. Mfano kama mkeo anakusaidia kutafuta pesa ya kula, kodi na bills nyingine jua kabisa hatopata muda wa kuwajibika na wewe mfano kukupikia, kukufulia, utaanza kupimiwa sex na hata unyenyekevu wako kwako utapungua. How possible unataka usaidiwe halafu uendelee kuwa superior?
(Mwanaume wa kisasa anataka madaraka ya mwanaume wa zamani)

Unapochagua mfumo wowote maishani hakikisha unaujua vizuri, unajua kwanini umeuchagua, unajue faida na hasara zake na namna ya kukabiliana nazo. Na mwisho kabisa uwe tayari kuuishi.
Kwaiyo hakuna mfumo Bora?? Kufanya kazi ama kua mama wa nyumban [emoji134]
 
Kila jambo ni zuri ukiutafuta uzuri wake na kila jambo ni baya ukiutafuta ubaya wake.

Mwanamke kufanya kazi ni kuzuri sana na pia ni kubaya sana

Mwanamke kuwa mama wa nyumbani ni kuzuri sana na ni kubaya sana.

Tuko kwenye hatua ambayo tunahama kutoka kwenye mfumo dume kuingia kwenye usawa wa kijinsia. Tatizo lililopo ni kwamba tunaenda Kanaani wakati bado tunavitamani vya Misri.

Kwenye haki yoyote lazima wajibu utangulie. Bahati mbaya sisi tunapenda haki kuliko kutimiza wajibu.
Wanawake wengi wanataka haki ya uhuru wa kiuchumi lakini hawataki kutekeleza wajibu wa uhuru wa kiuchumi. Mfano mwanamke atataka afanyekazi lakini hataki kuulizwa pesa yake inafanya nini, inaenda wapi na inatumikaje. Wakati huo huo yeye anataka ajue pesa ya mwanaume inatumikaje. How possible is that?
(Mwnamke wa kisasa anataka ahudumiwe kama mwanamke wa zamani)

Kwa upande wa wanaume nako wanatakiwa kutambua kuwa ukisaidiwa majukumu yako (wajibu) basi jua pia ma
 
Umeandika vizuri sana. Most men ambao wako insecure na mwanamke ambaye yuko financial stable wana matatizo ya hofu ya kupoteza sauti zao, hilo tu yaani. Wataanza tu kujudge uhuru kidogo au utayari wa mwanamke kushiriki katika kufanya maamuzi ya maendeleo, so strange.

Nilichojifunza nikianza na mama yangu ni kuwa, wanawake wengi at some point wanalazimika kutake over roles za kuhudumia familia. Mapenzi ya kulelewa yapo ile miaka ya mwanzo ya ndoa, majukumu yakishaongezeka mwanamke anayejielewa automatically anatake over majukumu mengi tu ya mwanaume. Na akifanya hivi hakuna mwanamke anayefeli. Women are made differently aisee.

Nimesomeshwa kimiujiza sana kwa vibiashara vya hapa na pale vya mama yangu. As a woman, nimejifunza mengi toka kwake labda hata kuliko darasani. Aliweka efforts kwa kuthamini vihela vidogo vidogo mnooo lakini kwa kuvikusanya viliweza kunisomesha from form 1 to form 6. From there haikuwa na namna ikabidi bodi ya mikopo ihusike. Funny is mama siku nimerudi likizo ya chuo akaniambia sijui vizuri unachosoma mwanangu ila kama unashida ya hela nijulishe, sitashindwa, nilijisemea sitataka anipe hata senti at this point, boom linatosha kabisa! Na nilijitahidi kusave hata kidogo nimletee vizawadi wakati wa likizo. She is the reason why nilifanikiwa kufika chuo.

Back then, wamama wenzake in the hood walikuwa wanamwangalia wakisubiri atanyoosha lini mikono, she damn didn't. Hata mzee, a very loving man, alishajikatia tamaa ya kunisomesha maana hana ile level ya determination. Alichopata kwa kifupi alichangia tu kwenye kapu la mama. My childhood best friend also aliweza kusomeshwa na mamake hata baada ya baba yake kufariki! So, you see how mwanamke alivyo na nafasi kiuchumi licha ya jamii kuona hawezi au kutaka asiweze?

Ila sasa kuna wale wanawake wanaosema "f* off responsibilities, kutunza familia ni kazi ya mume mimi sifanyi!". Aisee hawa nimeona wanacreate familia masikini sana na future ya watoto inakuwa ya kubahatisha sana. Hata katika familia yenye upendo, mwanaume peke yake ni vigumu sana kuleta maendeleo makubwa peke yake. Kusaidiana ni muhimu sana.

So kazi gani ya kufanya?, namshauri mwanamke mwenzangu, fanya chochote unachoweza na anza kidogo kidogo, kisha kuza mtaji wako. But you must be doing something for sure.

I have a sister, she is 6 years older than me, aliolewa akiwa very young akawa mama wa nyumbani. She embraced the role kwa vile mumewe alimpenda sana. Nikamuuliza kwanini hujanyi kazi, akasema shemeji yako anasema nibaki nyumbani, nikamwambia utashindwa huko mbeleni, huoni mama alivyohangaika kutulea, hukujifunza chochote kwake? At that moment alikuwa na watoto 2. Few years later mumewe akawa anatoka kimapenzi na mwanamke mwingine, wakigombana sister hawezi hata kuomba hela ya mboga, anakopa dukani, eti anaacha mwenye duka amkumbushe shem kuhusu hilo deni. It was hard for her, I wanted to hate the guy but nikasema huu ni uzembe wa ndugu yangu. Those days nikamwambia it's time uamke, fanya kazi, alipoamka as we speak ana hadi nyumba amepangisha, and they are still very much in love. It can be done, once ukianza hutataka urudi nyuma! Maisha ya kuomba matumizi ni mabaya asikwambie mtu. Ndo hao kinamama wanamaliza hasira zao kwa watoto wao, mtoto kosa kidogo kofi, kumbe the reason ni baba yao.

Sasa ushajianzishia kipato chako. Yet hapo hatujazungumzia mwanaume kuiba au kuharibu savings na plans zako. Unapohustle be careful na hela na mipango yako, msome vizuri mwenza wako. Uwe na uhakika mikakati ya pamoja ina malengo mazuri, ogopa ile niazime kiasi fulani, isiporudi ndo ushapata hasara, be careful tufanye biashara fulani pamoja, once umetumbukiza capital yako, plan ikibuma unaanza upya! Wanaume wengine wanafanya hivyo purposely kukuangusha. Au kama plans zake always zinafeli likely mtafeli wote, katika hilo heri kila mtu afanye kivyake. Najua tunapenda kwa dhati but usijitoe ufahamu, maisha hayana rehearsal.

Kwa tuliobahatika kusoma na kupata kazi jambo zuri ni kushirikiana na mwenzi wako kujenga maisha, mtafika mbali kiuchumi. Ila kama bwana haeleweki you know better how to do it alone. Unaweza kuwa msomi na kipato kizuri na bado ukarubuniwa vilevile. But I feel sorry kwa wale unakuta wote wanafanya kazi but hela ya mwanamke ni ya matumizi yake personal, like why? Hii nani aliwaambiaga? Naonaga hata church women wanashauri mabinti eti usichukue jukumu la kutunza familia, hela yako ni hela yako! Haki mtu anielewesha hapa, sijawahi kugrasp hii concept!

Kwa ufupi nimeona wanawake waliotusua maisha wakiwa na elimu ya darasa la saba up to uni graduates, na failures katika magroup hayo yote. All in all, ukiona na mwanaume anakurudisha nyuma ni bora uachane naye tu hata kama ni mumeo. Umaskini wa kurithishwa na mwanaume unaambatana na ghadhabu na regrets nyingi sana. Maisha mnayoanza na mwenzako haimaanishi yatabaki hivyo, kuna kusalitiana na kuachana, kukimbiana, kuna kufiwa, kuna kudeal na magonjwa chronic mwenzako akashindwa kuzalisha chochote, kuna kuachishwa kazi, kuna kuolelewa mke wa pili na wa tatu, hadi wa nne huko. Jiandae kabla hujapigwa tukio lolote. Lastly una wajibu wa kuandaa future ya watoto wako. Mimi sijaolewa bado na sijazaa, but hata sasa mtoto atakayezaliwa ashaandaliliwa future yake, sitaki ujinga.
 
hapana wanaume hawalalamiki, nenda ustawi wa jamii uone idadi ya wanaume na wanawake wapi wameenda kulalamika, kuna utitiri wa taasisi za kumtetea mwanamke, wapi umeziona hizi taasisi zikimtetea mwanaume? yaani mwanaume anaonekana kama dubwasha linalotishia maisha ya mwanamke.

Nyuzi za humu haziwezi zikawa ushahidi kwamba eti wanaume wanalalamika, unatakiwa ujue wanaume hawana platform ya kuwasaidia kutoa nyongo ya machungu waliyonayo.

Hapa ni sehemu ambapo angalau unaweza sema yanayokusibu
Hadi unapelekwa kwenye dawati la jamii means hujatimiza wajibu wako, ikiwa ni pamoja na kuboresha mawasiliano na mzazi mwenzako. Responsible men hawafikishwi huko. Madawati yameanzishwa kudeal na deadbeat dads. La hawa watoto wa mitaani wangeongezeka exponentially! Ukishaleta kiumbe duniani be responsible, ukishindwa serikali ndiyo maana inaingilia kati. Kama hutaki mtoto wrap that thing with you, hakuna mtoto anazaliwa bahati mbaya, ni kauli za irresponsible parents (both of them, equally) waliojali zaidi starehe kuliko wajibu unaoambatana na sterehe hiyo.
 
una uhakika wanawke wanatimiza wajibu wao?
 
Back
Top Bottom