Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Nimeshawahi kujiuliza sana kwa sababu nina watoto wa kiume tu.Hata wanaume ambao ni masikini huwa wanateseka sana ushawahi kujiuliza mwanaume anasaidiwa na Nani???
Since women support women
Men support women
NGO's support women
Government support women
Men do not get any support from anyone if they don't hustle themselves.🙂‍↔️🙂‍↔️🙂‍↔️💪
Why don't men support men? Humu mwanaume akiandika uzi anapitia magumu, ana huzuni, shida ya afya ya akili au anataka kujiua, watu wa kwanza kumbeza na kumsema vibaya ni wanaume wenzake.
I agree, more NGO's should support men and they should be started by men. Tatizo ni your pride, kwamba wanaume wanaohitaji msaada ni dhaifu, inawafanya msianzishe taasisi za kusaidiana kihisia.
Who should support men if they don't support themselves / each other to start with?