Jamvi la wanawake: Dunia ni katili sana kwa wanawake maskini

what a nonsense ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Una uhakika gani huyo mtoto ni wa huyo jamaa??
 
95% ya wanawake wana roho mbaya sana,mwanzoni kabla sijawa mkubwa niliwaheshimu sana.Kwa sasa kwa umri wangu ni ngumu sana kumwamini kiumbe kinachoitwa mwanamke.
 
Wanawake ni walalamishi sana, na huwa wanafikiri matatizo yao yanasababishwa na wanaume au wanaume ndio adui yao namba moja katika maisha yao.
Kulingana na nyuzi tunazoona humu JF, hicho ulichoandika hapo juu kinawahusu wanaume, wao ndio wanaongoza kwa ulalamishi dhidi ya wanawake.
 
Kulingana na nyuzi tunazoona humu JF, hicho ulichoandika hapo juu kinawahusu wanaume, wao ndio wanaongoza kwa ulalamishi dhidi ya wanawake.
hapana wanaume hawalalamiki, nenda ustawi wa jamii uone idadi ya wanaume na wanawake wapi wameenda kulalamika, kuna utitiri wa taasisi za kumtetea mwanamke, wapi umeziona hizi taasisi zikimtetea mwanaume? yaani mwanaume anaonekana kama dubwasha linalotishia maisha ya mwanamke.

Nyuzi za humu haziwezi zikawa ushahidi kwamba eti wanaume wanalalamika, unatakiwa ujue wanaume hawana platform ya kuwasaidia kutoa nyongo ya machungu waliyonayo.

Hapa ni sehemu ambapo angalau unaweza sema yanayokusibu
 
Muda unaanza kuwaumbua wanaume wengi kwa sasa hupenda kusikia na upande wa pili... Kitu ambacho wanawake wengi hawakipendi.
 
Kuna mama mmoja pia nliona alimkimbia mtoto wodini akiwa na siku chache baada ya kuzaliwa akiwa na ulemavu je? Ni kwasababu alikuwa na doubt hiyo?
Inasikitisha sana, I hope alipatikana na akashughulikiwa kisheria.
 
Wazazi wetu wa zamani walikuwa wasaidizi kwa waume zao.
Wanawake wa sasa sio wasaidizi kwa waume zao ila ni wategemezi yaani hawajiwezi kwa chochote anapokuwa na uhakika wa sapoti ya mwanaume.

Tumesikia kesi nyingi za wanawake wasomi kukataa kuchangia sehemu ya kipato chao kwenye familia na badala yake majukumu yote kumwachia mwanaume huku kipato chao hakijulikani kinapoenda.
 
Ukiruhusu mwanamke atumie kipato chake kulisha famili umekweisha...Kubali na dharau ndogo ndogo zikifuate..lakini pia mwanamke kuwa na kipato ni heshima ..hata huyo mwanaume anakuwa na nidhamu akijua unavhochote kitu..

Unaacha kazi kwa ajili ya mwanaume ukijua atamudu kwa kila hitaji la familia matokeo yake mwanamke unachoka na kuchakaa mwanaume kumudu majukumu yote ni mtihani anatafuta wanaojua kuoga nje.
 
Mnataka hela zetu mfanyie nini nyie wanaume? Mnataka kusaidiwa nini?
 
Tuwahimize wadogo zetu wa kike watoto wetu wa kike ndugu zetu wa kike kujitafutia chake kujituma kwenye utaftaji Ili anapokua na mwanaume au kuolewa pesa ya mwanaume isimfanye awe mmtumwa
Huyo bint angekua ni mtu na Shughuli zake za kujiongezea kipato sidhan kama angeona ni mzigo angepambana kuhakikisha mtoto hakosi huduma

Trust me Kuna Ile nguvu IPO ndan yetu wanawake pale panapokuja kwenye maswala la watoto tuko radhi Kwa lolote lenye Halali Ili watoto wapate chochote kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ