Jamvi la wanawake: Dunia ni katili sana kwa wanawake maskini

Nimeshawahi kujiuliza sana kwa sababu nina watoto wa kiume tu.

Why don't men support men? Humu mwanaume akiandika uzi anapitia magumu, ana huzuni, shida ya afya ya akili au anataka kujiua, watu wa kwanza kumbeza na kumsema vibaya ni wanaume wenzake.

I agree, more NGO's should support men and they should be started by men. Tatizo ni your pride, kwamba wanaume wanaohitaji msaada ni dhaifu, inawafanya msianzishe taasisi za kusaidiana kihisia.

Who should support men if they don't support themselves / each other to start with?
 
Hii ni moja kati ya replies ambazo ni knowledgeable na balanced. Asante sana!

Umesema vizuri kuhusu wajibu na namna ambavyo both wanawake na wanaume wanapaswa kukubali na kubadilika kulingana na mazingira ya sasa.
 
Kusammarize jamaa anasema Wanawake ni waigizaji tenah sio Bongo Movie πŸŽ₯,Movie za mambele
 
Umeandika as if dunia iko fair na Mwanamume masikini. Kuna kundi kubwa la Wanawake masikini sasa hivi, ila wameolewa na wanaishi na Wanaume matajiri, wenye kujiongeza wamesogeza vi miradi vya hapa na pale kujikiza kiuchumi.

Mwanamume huna hela wewe ni mavi, yaani kuanzia Wanawake watakavyokuona etc, ni vile tu hujasikia kilio kama cha huyo dada, na jamii ilipofika Mwanamume masikini kuonekana si kitu ni kawaida. So in short sasa, hivi mambo yanabadilika taratibu, issue tena sio Mwanamke au Mwanamume, issue ni MASIKINI.
 
Aisee, huyo kwenye picha mwanamke au mwanaume. Anayemlaza njaa huyo hajipendi.
 
Kuolewa na mwanaume mwenye pesa hakumfanyi mwanamke kuwa tajiri..ee mwanamke chako hata kikiwa kidogo kinamaana sana kuliko cha kupewa na change masimango..ndoa sio ajira kwamba utalipwa kwa huduma unazotoa kwa mwanaume ..hata akikulipa haiwezi kuwa sawa kulinganisha na thamani ya nguvu na muda unaotumia mwisho wa siku mapenzi yakiisha atakuona kama takataka utafukuzws kama mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…