JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

Harufu jamani harufuuuu
Hii ni kwa wote mwanaume na mwanamke
Hakikisha unaoga vizuri safisha kwapa, sugua mstari wa ikweta huo
Kwa wanawake sugua kwapa,sugua chini ya manyonyo

Harufu inakata stimu kwenye sex
Inakera sana, sanaaa
Mtu anatoka huko na majasho yake ya siku mzima, anataka kukuparamia tu.

giphy.gif
 
Mimi sijapoteza hamu, kwa mchumba angu kila muda nataka.
Ni suala la muda tu, usikute wewe hujapoteza hamu ila mwenzako tayari ana mchepuko ama michepuko huko nje. Wanaume ndivyo tulivyo, ukishakula tunda ile hamu inapotea inabaki heshima tu na nyege za nzi (anatomba pale anapojisikia ama kwa machale kuvizia target nyingine aliyopanga kichwani).
 
Back
Top Bottom