JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

Mmejaa ubinafsi tu hamna kitu Cha maana!!mnataka Kila saa tuwaze matakwa yenu wakati hakuna Cha maana mnacho offer zaidi ya huo uke kwetu!!

Bora tuendelee kujipenda wenyewe coz nimejifunza ukiona mwanamke anakupa penzi ujue malengo yake hayajatimia na anakutegemea!siku akitimiza malengo yake tu anaanza uchuro plus visirani!!
Kwahiyo tukisema na sisi tuna mahitaji ya kihisia zaidi ya sex, huo ni ubinafsi?
Kama wewe hujawahi kukutana na mwanawake ambaye hana cha kuoffer zaidi ya mbususu, pole sana. Naelewa kwa nini una makasiriko.
 
Back
Top Bottom