Jamvi la wanawake: Wewe raundi ngapi akienda zinaanza kuwa kero?

Jamvi la wanawake: Wewe raundi ngapi akienda zinaanza kuwa kero?

Nimeona kuna mtu kaandika anaenda na mkewe bao nne mpaka tano. Nimeshangaa, hiyo ndiyo midinyo mnayowapa hawa wanaume au ni chai tu.

Wewe raundi ngapi akienda unasema inatosha, kesho nayo siku?

Mimi akinipiga tatu labda tuwe tumemisiana hatujaonana miezi la sivyo kesho yake kitandani atanikuta kama chura hapo chini 👇

View attachment 3250900
Depends on moods
 
Sasa kamoja kwanini kasiwatoshe!!!
Hakakati hamu yote, jiulize kwanini condom wameweka tatu? Kwanini wasingewekq moja au kumi? Wanajua uwezo wa watu walio wengi ni mabao matatu.
 
Back
Top Bottom