Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #301
Daaah, basi sawa mnafiki.Ni kwamba,kama mwanamke anahitaji kufurahi na yuko tayari ni jambo la kugusa mwili wake tu,tayari anakupa mrejesho sahihi na wala haimchukui dakika tano kufika huko Mawenzi.
Mwanamke anawaza vikoba mara kausha damu,anawaza namna ya kupanga ratiba ambayo haitagonganisha michepuko yake halafu mimi nijifanye eti nataka kumfuhisha!
Hakuna jambo la namna hiyo kwangu,anataka kufurahi,awe tayari kufurahi,km hana mpango basi mimi ni 80 seconds nimetua mzingo mziiiitoooo kiroho safi kabisa huyo natulia.
Ndoa ni yako na raha ni zako, we jifaidie unavyoweza tu 😂 na kama kweli bibie ana stress za vikoba, hizo hua zinaondoa msisimko wote 🤣