Jana alinitumia meseji ya usiku mwema sawa moja jioni.

Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani.
Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
Hii kitaalam inaitwa wadau 😊☺️😊

Kasikilize wimbo wa CHRIS BROWN_DUCES
 
Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani.
Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
Umeme cm imezima charg jumatatu asubuh atakuelezea vizur
 
Back
Top Bottom