1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Si kweli
Hapa kwenye kufirisi naweza kuacha pombe nikiwaza juzi niltumia hela balaa
Sanaa zina maliza pesaHapa kwenye kufirisi naweza kuacha pombe nikiwaza juzi niltumia hela balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo,,, pole mkuuHapa kwenye kufirisi naweza kuacha pombe nikiwaza juzi niltumia hela balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi nakunywa ilikuwa ikifika weekend natafuta chimbo la ukweli tena lisilo na vurugu huku naskiliza miziki ya Congo yaaan, ni kumaliza pesa tuDaah mimi nina miezi miwili naona kama miaka mitano.... Ila pombe zinatesa sana ukinywa nyingi..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]...Kuna kitu umenikumbusha hapa mbavu sina!Kipindi nakunywa ilikuwa ikifika weekend natafuta chimbo la ukweli tena lisilo na vurugu huku naskiliza miziki ya Congo yaaan, ni kumaliza pesa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa k vant unapataje gharama u konyagi
Kipi hicho? Ulibebwa baada ya pombe kukuzidi,, au mfuko ulikata,, hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]...Kuna kitu umenikumbusha hapa mbavu sina!
Anyway ledger plaza beach hotel sitapasahau[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uko makini, ila kuna watu na mifano ninayo yaaaan nawakwepa kukutana nao,, ukitaka kumpata ni bar tu, mipango mingi mdomoni lakiniSasa k vant unapataje gharama u konyagi
mpuuzi mpuuzi tu