Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Mara ya Mwisho kunywa pombe ilikuwa mwaka 2015.

Jana Nlialikwa ktk kasherehe fulani hivi hapa Rocky City au Wenyewe hupaita Mwanza Mwanza au kwa kina Ngosha,

Story za hapa na pale mara meza ikachafuka mavinywaji kibao,, kila nikisogezewa mizinga mie naitawanya kwa wahusika niliokaa nao mwisho yakaanza maswali "Mbona Kushi hupigi vyombo" nikamwambia long time hizi mambo niliacha, ila Moyoni kuna ka nguvu fulani fulani kananishawishi stua kidogo, ILA NILIKASHINDA,, NAENDELEZA MSIMAMO WANGU.

Ila kuna pipo jana zililewa chakali hadi zikabebwa yaani, nadhani ndo zinajifunza,

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom