Nakazia
Aaaah Wapi, hayo Matam nliyoyapitia yanatosha aiseeeeh,, nawachia nyie muendelee kunenepa na ngano hiyoooo hahahahahaRudi unakosa mambo matamu
Unaachaje beer ilivyo tamu vileAaaah Wapi, hayo Matam nliyoyapitia yanatosha aiseeeeh,, nawachia nyie muendelee kunenepa na ngano hiyoooo hahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh,,, hahaha dah!! Unakunywa baada ya hapo Madem wa bar wote unawaona cuty kishenz,,Unaachaje beer ilivyo tamu vile
Kumbe ndio pombe zinavyokupeleka kama ni hivyo bora tu ulivyoachaMmmh,,, hahaha dah!! Unakunywa baada ya hapo Madem wa bar wote unawaona cuty kishenz,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwai vuta bangi ila niliwai onja ladha yake,,, NAKUMBUKA KIPINDI NIPO BODA ya Tanga na Mombasa pale Horohoro nliopoa manzi flani wa kidigo mixer na Mduruma,, laikuwa analipuliza aiseeeh ile kula romance nikapata radha flani iviii,, kuja kuchek vizuri kumbe alitoka kustua, manzi mzuri lakini mmmhSijawahi kunywa pombe halafu sijisikii kujaribu.
Ila bangi ni nitavuta tu hata nikiwa natembelea mkongojo. Nikizipata tu nawasha gari.
Kishawishi kikubwa ni pombeKumbe ndio pombe zinavyokupeleka kama ni hivyo bora tu ulivyoacha
Nimeacha tangu 2016 mwezi October.
Hongera mkuu,, hahahaNimeacha tangu 2016 mwezi October.
2017 August nikanywa chupa 2 za Castle Lager. Ever since sijanywa tena. Na sitaki.
Sent using my Nokia Torch
Mkuu ntakuja Mwanza week ijayo. Tuonane.Dah pole sanaaa,, nlikuwa na manzi flani kipindi hicho alikuwa mnywaji kushinda mimi,, sasa mm nlitaka asinizidi ktk kunywa basi tunakunywa tunakunywa tunakunywa mida inaenda mwishowe kwa ule uvivu tunaamua kuchukua room basi asubuhi kusaka supu yaaan mwanzo mwanzo nliona sawa kwa kuwa alikuwa mpya mpya yaaan penz moto moto, ila baada ya mwaka mmoja nlimwambia tuache pombe lakini alikataa nikasema kwa style yako hii usitegemee kupata wazuri, rafiki zake wote pombeeeee,,, nashukuru nliachana naye,, namuona tu instagram mara leo CLUB VILLA mara NWANZA HOTEL,, MALAIKA,, Na ameanza kujichora matatoo,, ye full bata,, na anawapanga wanaume wenye pesa ,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaahapa kwenye miziki ya congo nimecheka sana maana jamaa yangu akilewa huwa anayakata mauno balaa na ole wako mziki uzimike (hata kwa bahati mbaya ama ile umeisha uchelewe kuanza) atatukana balaa
mwingine akilewa anaanza kulia eti nimpeleke kwao pawaga (iringa huko) hapo tuko dodoma
basi walevi wana mambo ya ajabu sana
Kuna wale Wacongoman pale Villa Park wanagonga copy ya miziki ya kwao hivi bado wapo?