1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa bar ya Msamvu kuleHahahah alikuwa wapi naye huyo? Dah,, ina maana hakuona ule mkonge wa pale mkundi? Nimecheka sanaaaa,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache wanao jigaramia asilimia kubwa ndo hawa hawaHa ha ha...huyo demu wako kazidi
Huyo kashaingia kwenye ishu za wanaume atadata!
Bata tamu mdada jigharamie sio lile la wanaume waiiii[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale maeneo noma!Noma sana, environment iko poa sana.
Bei za vinywaji ndo tabu.
Kuna chupa ya Jack Daniels mtaani tunapata kwa 55-60, wao wanaiuza 200+.
Kwa hiyo ni lazima uwe umejipanga hasa.
Toka Magu aingie nimefika mara 5 tu kule, wakati miezi miwili ilikuwa haiishi.
Niliwaona siku moja wapo vizuriKuna wale Wacongoman pale Villa Park wanagonga copy ya miziki ya kwao hivi bado wapo?
Dah naimiss Mwanza.
Sent using my Nokia Torch
Hahaha! Nje malaya kibao Kirumba paleNiliwaona siku moja wapo vizuri
Huwa natamani kurudi tena pale kwa ajili ya ule mziki wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu inaonesha anakunywa zile pombe za kumtoa kwenye ramani[emoji16]Kumbe ndio pombe zinavyokupeleka kama ni hivyo bora tu ulivyoacha
Road ishaisha, flyover ya watembea kwa miguu ishaisha,, siku hizi sio mtembez sanaa kama zaman, machimbo mapya yapo ila sana sana yanaboreshwa yale ya zaman,,Kuna nini kipya? Niliacha barabara ya aiport inajengwa wameichimba chimba mpaka Pasiansi kule...na ile flyover pale Rock City Mall iko mwisho mwisho. What else?
Sent using my Nokia Torch
Taratibu taratibu mkuuNatamani kuacha hila nina imani nitaacha kwani sija haribika kihivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Natamani kuacha hila nina imani nitaacha kwani sija haribika kihivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nishatoka huko,, siku hizi napiga vinywaji lainiHuyu inaonesha anakunywa zile pombe za kumtoa kwenye ramani[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahahah rudi tuNiliwaona siku moja wapo vizuri
Huwa natamani kurudi tena pale kwa ajili ya ule mziki wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wafaa..!![emoji855][emoji855]Kila weekend ( napenda sana siku ya j'pili coz hamna foleni barabarani) nawachukua mashost hao ledger plaza njiani mziki mkubwa unaona maisha ndo haya[emoji16]...yale maeneo si unajua ukiingia ndani utafikiri uko Beverly Hills, mi nakunywa wine ( 30,000) mashost windoek @Tsh 8,500...hahaahaa almanusura nifilisike mle, nikapakimbia nikarudi uswahilini na company nao ya bata nikaipiga chini, [emoji1787][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana kipato? Hana kazi?...Bora aache tu pombe coz atakutana na mambo ya ajabu huko!
Eeeeeh sawa tu,True...but ukiwa mlevi, kunywa kidogo tu halafu mara moja moja, mi ndo nafanya siku hizi!
Mpaka nilimiss sana bata ndo naibuka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeeh wacha weeee siku hizi huendi hahahahahYale maeneo noma!
Hata mtu akikuona maeneo yale anahisi unazo[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hahahaha nahisi unarudi kwa ajili yaoHahaha! Nje malaya kibao Kirumba pale
Sent using my Nokia Torch