100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
[emoji16][emoji16][emoji1787]...Bata la pale sio la mchezo!
Sister angu anaendaga pale kuzuga tuu hata soda hanunui, ila anachukua na mipicha kama Mimi tu ...kipindi cha mkwere kulikuwa sebuleni kwake pale!
We acha tu stone kayatinganya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna wahudumu wazuri si mchezo, wana zile cottages zao ni shida, kuna kipindi sijui yule mtoto alitoa wapi hela, tulikaa siku 5, ilikuwa holidays, duh! Mimi nilichangia nusu ya bei ya rooms, kuna cottages ziko kuelekea baharini ndo tulikuwa tunakaa.
Yale maisha hayarudi tena, msosi wao ni very classic.