Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

Sijawahi kunywa pombe halafu sijisikii kujaribu.

Ila bangi ni nitavuta tu hata nikiwa natembelea mkongojo. Nikizipata tu nawasha gari.
Sikuwai vuta bangi ila niliwai onja ladha yake,,, NAKUMBUKA KIPINDI NIPO BODA ya Tanga na Mombasa pale Horohoro nliopoa manzi flani wa kidigo mixer na Mduruma,, laikuwa analipuliza aiseeeh ile kula romance nikapata radha flani iviii,, kuja kuchek vizuri kumbe alitoka kustua, manzi mzuri lakini mmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah pole sanaaa,, nlikuwa na manzi flani kipindi hicho alikuwa mnywaji kushinda mimi,, sasa mm nlitaka asinizidi ktk kunywa basi tunakunywa tunakunywa tunakunywa mida inaenda mwishowe kwa ule uvivu tunaamua kuchukua room basi asubuhi kusaka supu yaaan mwanzo mwanzo nliona sawa kwa kuwa alikuwa mpya mpya yaaan penz moto moto, ila baada ya mwaka mmoja nlimwambia tuache pombe lakini alikataa nikasema kwa style yako hii usitegemee kupata wazuri, rafiki zake wote pombeeeee,,, nashukuru nliachana naye,, namuona tu instagram mara leo CLUB VILLA mara NWANZA HOTEL,, MALAIKA,, Na ameanza kujichora matatoo,, ye full bata,, na anawapanga wanaume wenye pesa ,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ntakuja Mwanza week ijayo. Tuonane.

Sent using my Nokia Torch
 
hapa kwenye miziki ya congo nimecheka sana maana jamaa yangu akilewa huwa anayakata mauno balaa na ole wako mziki uzimike (hata kwa bahati mbaya ama ile umeisha uchelewe kuanza) atatukana balaa

mwingine akilewa anaanza kulia eti nimpeleke kwao pawaga (iringa huko) hapo tuko dodoma

basi walevi wana mambo ya ajabu sana
Hahaaaa
Kuna mmoja baada ya kulewa chakari aliwasha gari kuja kushtuka yupo Dakawa badala ya kwenda SUA[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom