Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe


Na kuna wahudumu wazuri si mchezo, wana zile cottages zao ni shida, kuna kipindi sijui yule mtoto alitoa wapi hela, tulikaa siku 5, ilikuwa holidays, duh! Mimi nilichangia nusu ya bei ya rooms, kuna cottages ziko kuelekea baharini ndo tulikuwa tunakaa.

Yale maisha hayarudi tena, msosi wao ni very classic.
 
Wahudumu wa pale ni kwikwi na ule msosi usipime....zile cottages zao sasa si ndo mpango mzima!

Ile swimming pool na counter ya stimu iko pale pale huku unaogelea huku unapiga sips dunia yako!

Afanye kumalizia tennis yard na bembea za watoto turudi kushangaa shangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unavyopataja najikuta napaona upya aisee.

Haya maisha kama una hela raha sana, uzuri kuna swimming pools kibao, hadi za kuweka miguu tu huku unapiga kinywaji mdogo mdogo.

Kuna muhudumu mmoja nilimwelewaga, nikawa mpaka nina mawasiliano naye nje ya pale, alikuwa kuhamia Zanzibar, noma sana.

Nilikuwa weekend naweza kwenda kuangalizia mechi pale, natoka kama nilikuwa Ulaya.
 
Huyo soon atakipata anachokitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha....umenikumbusha kuna siku nimejirecord mle nikamtumia mshkaji wangu yuko West Hollywood Basi mle kwenye clip natiaje " ooh my goodness I can't believe , i landed my bare foot on Beverly hills soil sasa huku nakatisha vile vibarabara vyao kama ile mitaa ya akina Paris Hilton...huo mshangao sasa utafikiri kweli[emoji16] ...saa ngapi jamaa asiamini kweli niko California ha ha ha.....alinisumbua na simu huyo tuonane maana alinambia maskani sio mbali na pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeh,,, ukamkwepa kwepa hadi akachoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwaga mitaa yangu iyo kama hujaingia hotelini kuna njia ya vumbi kuna chimbo moja na kitimoto kwa yule jamaa anayefanyakazi Radio one nikishapiga kitimoto ndio naingia hotelini sasa kuogelea
 
Nimeacha tangu 2016 mwezi October.
2017 August nikanywa chupa 2 za Castle Lager. Ever since sijanywa tena. Na sitaki.

Sent using my Nokia Torch
Tatizo mnakunywa mapombe magumu siku hizi kuna serengeti lite tamu balaa unaweza kunywa na uka drive fresh kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…