wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Tatizo mnakunywa mapombe magumu siku hizi kuna serengeti lite tamu balaa unaweza kunywa na uka drive fresh kabisa
Ndio nzuri za kupotezea muda kuliko kunywa kali kidogo tu umewaka unaanza kuyaludi mayenuHizo ili nipate stimu labda ninywe 15 kwenda juu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi ile njia ya vumbi kuna kitimoto kule kumbe?Ilikuwaga mitaa yangu iyo kama hujaingia hotelini kuna njia ya vumbi kuna chimbo moja na kitimoto kwa yule jamaa anayefanyakazi Radio one nikishapiga kitimoto ndio naingia hotelini sasa kuogelea
Mimi local beverages hapana asee....huwa siyaamini mavinywaji ya hapa.....kama sina hela bora niache!Tatizo mnakunywa mapombe magumu siku hizi kuna serengeti lite tamu balaa unaweza kunywa na uka drive fresh kabisa
[emoji16][emoji16][emoji1787]Cjawahi kunywa hizo vyuma chakavu na I will never take them till I die!
Sent using Jamii Forums mobile app
AisehhhhNilijifanya niko busy huyoo...kwamba Nina project na wazungu flan pale na nina 1 week ya kusubmit kazi then nageuza!
Ila nikampromise kuwa after 3 months narudi tena[emoji1787][emoji16] akaamini....mpaka leo anajuaga nilienda kweli ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kuna bamba hatari watu wengi mno pana hapeni mno anamiliki jamaa flani anaitwa Deo Rweyunga wa radio one
Dah ila nimekashinda"ila Moyoni kuna ka nguvu fulani Fulani"Sio kanguvu ni karoho flani hivi...