Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

Jana ilikuwa bado kidogo tu nirudie kunywa Pombe

Tatizo mnakunywa mapombe magumu siku hizi kuna serengeti lite tamu balaa unaweza kunywa na uka drive fresh kabisa

Hizo ili nipate stimu labda ninywe 15 kwenda juu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo mnakunywa mapombe magumu siku hizi kuna serengeti lite tamu balaa unaweza kunywa na uka drive fresh kabisa
Mimi local beverages hapana asee....huwa siyaamini mavinywaji ya hapa.....kama sina hela bora niache!

Pombe gani mtu unakunywa unakuwa kama kichaa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom