Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Labda aliogopa mkizinguana utakuja anika hapa kipapa, maana hamchelewi nyinyi😅W aliwahi kunambia bora tungekutana nje ya JF, sasa cjui wa nje wanatoka jehanamu na wa JF wanatoka mbinguni 😂
Sasa ww siku ya kushangazwa hutoamini 😂