Jana ilikuwa Hatari mademu kama wote

W aliwahi kunambia bora tungekutana nje ya JF, sasa cjui wa nje wanatoka jehanamu na wa JF wanatoka mbinguni ๐Ÿ˜‚

Sasa ww siku ya kushangazwa hutoamini ๐Ÿ˜‚
Labda aliogopa mkizinguana utakuja anika hapa kipapa, maana hamchelewi nyinyi๐Ÿ˜…
 
Labla aliwahi kufanyiwa hvy bc anadhani wote tupo hvy
Hapana humu si kuna mashamba darasa ya kutosha tu kwanini asubiri kufanyiwa yeye kwanza! Unajifunza kutokana na makosa!
 
Kweli ulidata jamaa yangu! Umekosa kabisa wa kufanana naye mwingine humu?๐Ÿ˜†
C ndo mpaka chemistry zioane, kwanza mm mwnyw sio mtu wa kujipandisha, ntampata wapi ๐Ÿ˜‚
 
,,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ daah nimecheka asee
 
Siku unidake kwenye net nikikuona kwa mbali nakutoroka๐Ÿ˜
Yn mpaka mnijue n mm mlalahoi, ahhh nshawakanyaga wengi tuu ๐Ÿ˜‚

Tena ww ndo nahasira na ww ๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ