Jana ilikuwa Hatari mademu kama wote

W aliwahi kunambia bora tungekutana nje ya JF, sasa cjui wa nje wanatoka jehanamu na wa JF wanatoka mbinguni 😂

Sasa ww siku ya kushangazwa hutoamini 😂
Wanaume wa JF ni much know sana..nikiona tu mtu ana jf app kwenye simu yake sitaki mazoea wana mitazamo hasi sana kwa wanawake
 
Hahaha
 
Wanazitoa wanapozitoa , ulinzi wa kwanza ulipaswa uwe kwa wanawake wenyewe kwa wenyewe kwanza , baada ya hapo ndio malalamiko yaende kwa wengine
Wanawake tangu lini wakalindana? Kila mmoja anajiona bora kuliko mwenzio hivyo akipata nafasi ya kukukomesha hawazi mara mbili! Wachache sana waliovuka huo upumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…