CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ili muanze kumcheka? kwamba kachanganyikiwa? siko hapa kufurahisha watu sawa?
Umeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Anachoma mahindi ana kijiwe chake safi tu na jiko lake zuri tu.una maanisha kafungua kampuni ya kuchoma mahindi... akiwa na vijiwe kama mia hivi atakuwa na pesa nzuri... sana
Mkuu inaonekana huna idea na biashara.Umeelwa nilicho andika mkuu au umeanza kwa coment kwanza? swala la mtaji ni shida na hapo ni moja ya sehemu ya kukusanya mtaji.
By the way kwan IT hawezi choma mahindi? au unazania ni watu gani wanapaswa kuchoma mahindi?
Na ni watu gani wanakula hayo mahindi?
Kama mtu wa law anaenda kuwa Bank teller why mtu w IT asichome mahindi?
Unajua kwa siku anaingiza how much?
UOGA NA AIBU NDO MUHIMILI MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app