CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #41
Na kwa alie soma Law halafu yuko benki?kwa mtu wa IT kuchoma mahindi ni kuonesha kuwa alichosoma hakikumsaidia hata hiyo kazi akiiipata hawezi fanya. IT means being creative kuna mambo mengi sana yanahitaji ufumbuzi wa IT.....
Alisoma Soil sayansi na anafanya kazi ya Kuwahudumia wateja?
Jamaa anakusanya mtaji wake.
Najua shida ni yeye kuchoma.mahindi.
Shida ni mahindi ningesema amefungua salooni najua watu wasinge ponda.
Ningesema analima watu wangeelewa kisa ni mahindi kuchoma?
Sent using Jamii Forums mobile app