Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Mkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu

Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kiuza Magari ndo unaweza kusanya mtaji?

Hahahaa nina case nyingi naweza kukupatia za ushuhuda. Shida zetu tunaamini kwenye biashsra ni ya Magari kuuza au Kuuza TV.

Unajua mfumo wa biashara wa Cocacola au Pepsi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu

Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue Hizi Aibu na Uoga zinatufanya tuamini kwamba Biashara ni ya kuuza Magari, kufungua Salooni ya kike au kiume, kufungua baaa, kuuza Magari, kufungua Hardware.



Kwani huko Maofisini watu wanalipwa how much?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina diploma. Baada ya mambo kuwa sio sawa mtaani nikapata laki 2 nikatafuta sehemu zuri nikaweka kibanda nauza pipi, sigara, na vingine ambapo pipi za 1700 nauza 2500 kwa siku 3. Sigara pakiti nauza kwa siku 2 kama kuna soko mpaka siku 4. Faida wastani kidogo sana vocha za 10,000 faida 500. Kwa sasahivi wife anauza Mimi nikatafuta issue nyingine. siku za soko watu wamezoea mauzo mpaka 50,000. Na maisha yanasonge vizuri sana. Nasomesha medium. Huyo jamaa anaeuza mahindi atakuja kuwa Tajiri. Eti anauza mahindi baadae atafute issue nyingine, watu tuheshimu cha wakati huo ukiboresha kitakuwa somo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umepata furaha gani hapo zaid ya kuona huruma?? Sometimes this world is not fair. Sometimes haimaanish the hard you struggle you will have happy ending.
Kweli kabisa lazima umhurumie mtu km huyu kuchoma mahindi kaanzia mbali sana alitakiwa adeal na mambo aliyosomea hivyo ni km ana evaporate matirio yake kichwani
 
Sasa umepata furaha gani hapo zaid ya kuona huruma?? Sometimes this world is not fair. Sometimes haimaanish the hard you struggle you will have happy ending.
Wewe najua Hapo unawafanyia kazi waaume wenzako.
Yeye masaa yote 24 anayatumia kwa kazi zake.
Kwani Maofisini unajua watu wanalipwa how much?

Unajua jamaa anaingiza shi ngapi kwa siku?
Hivi kwani hayo mahindi anawauzia si nyie mnao kaa ofisini?
Mentality zetu ni za hatari mno na zitatugharimuno.
Huwa nafurahi kuona watu wana mentaltu kama zako ili Furusa basi wawepo watu wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitaka kuiona faida vizuri alime shamba la mahindi
Faida hata hapo anapata au unazungumzia faida ya aina gani?

Ya kama kuuza madawa ya kulevya?

Tungekuwa tunajua mfumo wa biashara wa cocacola tusingeongea.

Makewenge wetu Faida tunahesabu kwenye mamilioni.

Ila wenzako sio hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo kubwa la kujivunza hapa ni kutokuwa na uoga na aibu!!
Ila kukusanya mtaji kwa kuchoma mahindi, huduma zingine za kimaisha anaziendesha vipi na anasevu kiasi gani??!!
Kuna watu wanaona jamaa anajidharirisha ila yeye na Mungu wake ndo anaye jua.

Watu wanaamini biashara ni za kukaa ndani ya Duka au biashara ya kuuza Magari kutoka Japani.

Nashindwa kuelewa je ni nani mteja wa hao wanao choma amhindi?
Je hawauzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli Jana nilijawa na furaha tele baada ya hapa Arusha kukutana na Graduate alie somea mambo ys IT anachoma mahindi.

Niliongea naye kwa kifupi sana ingawa nime mpromise kumtafuta tuongee zaidi.
Jamaa kaamua kuweka vyeti pembeni ni baada ya kutuma application nyingi bila mafanikio.

Kaamua kuondoa uoga na aibu na kwa sasa anapata mafanikio na nina amini hata Mungu yuko upande wake. Mungu huwa hayuko upande wa watu wenye aibu na waoga. Jamaa anakusanya mtaji hivyo kwa alicho somea si kwamba kaacha bali kuchoma mahindi ni kukusanya mtaji wa yeye kufanya mambo makubwa zaidi.


AIBU NA UOGA NDO MUHIMILI MKUU WA KUTO FANIKIWA.
e271eaa5f73352f5806d84d872d9d290.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niunganishe naye huyo jamaa, niko siriaz...nitamwambia la kufanya
 
Back
Top Bottom