CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #21
Vipi kiuza Magari ndo unaweza kusanya mtaji?Mkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu
Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa nina case nyingi naweza kukupatia za ushuhuda. Shida zetu tunaamini kwenye biashsra ni ya Magari kuuza au Kuuza TV.
Unajua mfumo wa biashara wa Cocacola au Pepsi?
Sent using Jamii Forums mobile app